Hivi ingekuwa utawwala wa Nyerere = Mwinyi = Mkapa = Kikwete Ingekuwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ingekuwa utawwala wa Nyerere = Mwinyi = Mkapa = Kikwete Ingekuwaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasimba G, Apr 26, 2012.

 1. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Hivi wana JF wenzangu mmeisha wahi kujifikilia kama utawala wa J K Nyerere ungekuwa sawa na Utawala wa A H Mwinyi, na Wa B W Mkapa na wa J M KIwete ingekuwaje? Mimi nadhani hamna mtu angekuwa na uwezo wa kununua hata kikombe cha chai kwa ukata, manaake Familia ya Nyerere isingekuwa haishikiki ukizingatia hali halisi ya elimu wakati huo. Wangebinafsisha kila kitu ikawa mali yao kama familia.

  Kwa kweli waTanzania tungevuna mabua tuu mpaka muda huu! Makongoro, Madaraka wangekuwa Marais bila kupingwa, na wangekuwa wamiliki wa kila kitu humu nchini…………………………………………...
  ………………………………………………………………

  Nawasilisha.
   
 2. m

  mukafumu New Member

  #2
  Apr 8, 2014
  Joined: Apr 4, 2014
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na bado hayo hawayaoni wenzetu wameg'ang'ania ohoo Nyerere hakufanya hiki na kile, Je! Mwinyi alifanya nini???????????
   
 3. KISHINDO

  KISHINDO JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2014
  Joined: Jun 23, 2013
  Messages: 1,607
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  Liwalo na liwe. Umasikini na ujinga ndivyo vinavyokwqmisha maendeleo wala si hao viongozi.
  Wananchi (wenyenchi) ndo wana matatizo vichwani.
  Mi silaumu viongozi hata kidogo ila nawapongeza kwa kuchezea akili za wengi vizuri.
   
Loading...