Hivi ingekuwa members wa jf ni mfano wa gazeti/redio/luninga, ipi ingekuwa pendwa kwako?

CELLULAIRE

Member
Mar 16, 2016
76
97
ama gazeti au redio au luninga unadhani ni member gani labda ndiyo angekuwa mfano wa gazeti pendwa au redio pendwa au luninga humu? na labda unadhani pia ni member gani ambaye angedoda humu kwa mfano huo huo wa gazeti au redio au luninga?

nikianza mwenyewe nadhani huyu member mwenye id ya RUCCI kwangu mimi ndiyo angekuwa mfano bora wa gazeti au redio au luninga yangu pendwa kutokana na kwamba huvutiwa sana na threads zake na hata michango yake mbalimbali na huyu member mwenye id ya Chachu Ombara kwangu mimi nadhani ndiyo angekuwa mfano tosha wa gazeti au redio au luninga nisiyoipenda na wala nisingekuwa nanunua au nasikiliza au natizama.

na wewe karibu uchangie wawili wakwako mmoja anayekuvutia na asiyekuvutia humu.
 
Kwa wale wapenda ubuyu, huo hapo
cbd4c2fe4642210e56107fc14caaa0e8.jpg
kuleni sasa!
 
@
Mshana jr nndio gazeti pendwa. YEHODAYA ni kati ya gazeti bovu kutokea.
mshana junior mambo yake ya kutisha akisimulia lazima uote we mtu gani yule rafiki zake wachawi na Freemason ila nisipomsoma kila siku sijisikii raha yani lazima nimtafute majukwaa yote
 
Back
Top Bottom