Hivi inawezekana ukamkopesha ex wako pesa na akakulipa kweli?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,809
15,059
Habari zenu wazee wenzangu?

Iko hivi, kuna binti mmoja alikuwa mtu wangu back then. Sasa kutokana na harakati za maisha tukajikuta tumeachana, sema toka tuachane hatukuwa na ukaribu kivile.

So toka last week ananitafuta ananiomba nimkopeshe 800k ya ada ya mwanae kakwama then mwisho wa mwezi atanirudishia.

Kiasi hicho cha pesa naweza kupambana nikakipata ila wasiwasi wangu huyu mtu atanirudishia kweli hiyo pesa au ndio itakua bad debt?

Wenye uzoefu wa kuwakopesha ma ex wenu nipeni ushauri please!
 
Alipotea ghafla.

Akarudi akiwa ameolewa.

Nikajifanya mzungu kwamba tunaendelea kuwasiliana.

Akaniambia nimuazime 150K.

Nikajibu nina 100K.

Akaiomba hiyo hiyo ananirudishia mwisho wa mwezi.

Ilikua 2018 mpaka mwaka jana nikamuambia naongea sana na wewe kwavile una hela yangu.

Akashtuka 'Hivi kumbe unanidai!!?'

Nikajua kajilipa pensheni nimepiga kimya.
 
USIMKOPESHE USIMKOPESHE USIMKOPESHE

Unahisi tangu umeachana nae hana mtu wa karibu zaidi yako, hebu fikiria yule mtu anampa tunda tangu mmeachana kwa nini asimwendee vipi baba wa mtoto

Amekutafuta kwa sababu unaweza kutoa laki nane wake up bro
 
Habari zenu wazee wenzangu?
Iko hivi, kuna binti mmoja alikuwa mtu wangu back then. Sasa kutokana na harakati za maisha tukajikuta tumeachana, sema toka tuachane hatukuwa na ukaribu kivile.

So toka last week ananitafuta ananiomba nimkopeshe 800k ya ada ya mwanae kakwama then mwisho wa mwezi atanirudishia.

Kiasi hicho cha pesa naweza kupambana nikakipata ila wasiwasi wangu huyu mtu atanirudishia kweli hiyo pesa au ndio itakua bad debt?

Wenye uzoefu wa kuwakopesha ma ex wenu nipeni ushauri please!

X unamjua wewe, sisi ndo twaulizwa; mtu yeyote anaweza kopeshwa hela asirudishe au arudishe, Hata Mama Mkwe, what matters ni integrity ya mtu!

Sio kwamba Ma X wote wabaya, Hakuna mtu ambaye at one stage hakuwa X!
 
Habari zenu wazee wenzangu?

Iko hivi, kuna binti mmoja alikuwa mtu wangu back then. Sasa kutokana na harakati za maisha tukajikuta tumeachana, sema toka tuachane hatukuwa na ukaribu kivile.

So toka last week ananitafuta ananiomba nimkopeshe 800k ya ada ya mwanae kakwama then mwisho wa mwezi atanirudishia.

Kiasi hicho cha pesa naweza kupambana nikakipata ila wasiwasi wangu huyu mtu atanirudishia kweli hiyo pesa au ndio itakua bad debt?

Wenye uzoefu wa kuwakopesha ma ex wenu nipeni ushauri please!
Jichanganye ile kwako
 
usijaribu kabisa zitaanza sababu lukuki mwishowe utaishia kula mbususu tuu na hela yako sahau kuipata.
 
Alipotea ghafla.

Akarudi akiwa ameolewa.

Nikajifanya mzungu kwamba tunaendelea kuwasiliana.

Akaniambia nimuazime 150K.

Nikajibu nina 100K.

Akaiomba hiyo hiyo ananirudishia mwisho wa mwezi.

Ilikua 2018 mpaka mwaka jana nikamuambia naongea sana na wewe kwavile una hela yangu.

Akashtuka 'Hivi kumbe unanidai!!?'

Nikajua kajilipa pensheni nimepiga kimya.
Jipige kifua mara tatu halafu sema 'mimi ni bwege mtozeni'
 
Habari zenu wazee wenzangu?

Iko hivi, kuna binti mmoja alikuwa mtu wangu back then. Sasa kutokana na harakati za maisha tukajikuta tumeachana, sema toka tuachane hatukuwa na ukaribu kivile.

So toka last week ananitafuta ananiomba nimkopeshe 800k ya ada ya mwanae kakwama then mwisho wa mwezi atanirudishia.

Kiasi hicho cha pesa naweza kupambana nikakipata ila wasiwasi wangu huyu mtu atanirudishia kweli hiyo pesa au ndio itakua bad debt?

Wenye uzoefu wa kuwakopesha ma ex wenu nipeni ushauri please!
Huyo mtoto wake hana Baba aliye mzaa? Nakama anasema mwisho wa mwez ata kulipa kwanin asiende shulen akaombe mtoto asome mwisho wa mwez apeleke Ada?
 
Back
Top Bottom