GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Leo wakati nikijiandaa kupanda Ndege kutoka huku nchini Puerto Rico nilipo kuanza safari yangu na kurudi Dar Tanzania ili niiwahi Mechi ya Kesho ( Dar es Salaam / Tanzania Derby ) ya Simba na Yanga kumetokea kituko kimoja ambacho hadi hivi sasa kimetuacha Watu hoi na tunajiuliza maswali na hatupati majibu.
Kuna Kiongozi mmoja huku Puerto Rico tunawaita Magavana na nasikia huko Kwenu Tanzania mnawaita sijui Wakuu wa Wilaya au wa Mikoa ambaye kumbe alipokuwa akimaliza darasa la Saba ( 7 ) la huku alifeli kabisa na kupata zero na alikuwa akiitwa Daudaniz Albertino Bashetunoz na Watu wengi walimjua kwa hilo jina ila ghafla juzi tu Rais wa hapa Puerto Rico alimteua kuwa Gavana na cha kushangaza kama siyo kustaajabisha huyo huyo Kiongozi ( Gavana ) mwenye Sura ile ile na umbo lile lile linalojulikana sasa anaitwa Paulo Christianez Makondanizei ( samahani jamani haya ni majina ya Kispanyola na Kiitalia hivyo sijayazoea sana ).
Sasa inasemekana kuwa huyu Gavana Mr. Paulo Christianez Makondanizei mwaka jana au mwaka juzi kama sijakosea sana alienda mwenyewe kupima VVU / UKIMWI na akawa na majibu mazuri tu yaani wenyewe mliosoma mnasema ni positive sijui. Ila Wananchi wa huku nchini Puerto Rico wanajiuliza kuwa hivi inawezekana kweli kama huyu Gavana Paulo Christianez Makondanizei ameweza kufoji foji Vyeti na hadi jina lake halisi la Daudaniz Albertino Bashetunoz yale majibu yake ya VVU / UKIMWI nayo yakawa ni sahihi kama alivyotuaminisha au na yenyewe pia ni Feki?
Niombeeni safari njema jamani mida ya Saa 9:30 naianza Safari yangu ya kurudi Tanzania na nategemea kuwepo JNIA mida 4:30 usiku kwani Ndege yetu hii ni ya moja kwa moja hivyo kuanzia usiku wa Saa 5 Kamili ya huko kwenu Tanzania nitakuwa tena online nikiwa Dar.
Akhsanteni.