Hivi inawezekana mtu na anko wake kuitana 'honey na babe' kweli?

Mhhhh! Ila inaweza ikawa kweli hivi ila anko kweli ale mzigo mtoto wa dada yake
Inatokea SANA SANA SANA. Kumbuka mambo ya mapenz watu wakiwa karibu ni rahisi sana. Ndg siku zote wako karibu na wanaonana mara kwa mara sana. Wengine tuna akili za kutojihusisha kimapenz na ndg. Lakini kuna watu kibao hawana akili au uwezo huo. Na videmu vya siku hizi vilivyo na moto na kupenda hela, uncle alimrushia kidogo tu na mtoto akajua uncle ana-care, kumbe anko anataka kula kifaranga au mayai bila kujali damu ya nani.
 
Back
Top Bottom