Hivi inawezekana mtu kuzimia na kuendelea kushikilia mfuko aliobeba?

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,569
50,393
Kumekuwa na taarifa kwamba baadhi ya wanaozimia na kulia hovyo wameandaliwa kufanya hivyo na MATAGA.

Katika kufuatilia taarifa hizo nimekutana na kituko hiki. Huyu aliyejifanya kazimia bado kang'ang'ania mfuko wake.

IMG-20210324-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom