Hivi inawezekana kutatua matatizo bila kumshirikisha mtu?

Wazee wa kaziii ipo Samsung A20 ipo sokon ni mpya sana na ukinunua unapata sim box lake pamoja risit yake ya iliyonunuliwa hivyo inauzwa 200k ipo tegeta dar es salaam kwa muhitaji awasiliane na stoplight au kwa +255 653 271 318 karibu sana na huduma ya gar pikipik bajaji unasafirii unataka gariii chumba nyumba wasiliana na stoplight broker pia ukiwa unasumbuliwa na gariii yako na hujapata suluhisho mda wowote ulipo tunafika kwa mashine za kisasa na hutojuta kwa huduma zangu UZA pia NUNUA na stoplight +255 653 271 318
YOU'RE WELCOME FIRST AND AGAIN FOR GOOD SERVICES
Oyaa ipo 120k hapa chukua fasta kabla sijabadili mawazo.
 
Kuna muda huwa nawaza nikimbilie mbali hata kazi niache kuliko kuwa karibu na huyu mwanamke
Uache kazi kisa mjinga mmoja mmekutana n kutiana,kuna wengine mnashida kwenye maamuzi...mimi n mke mwaka wa 8 huu nliapa kesi namaliza mwenyewe kma nlivyoanza nae...yani hakuna kupeleka kwa wazazi wala kanisani
 
umezungumza point mkuu mpaka imenibidi kucomenti japo kwa kipindi kirefu nimekuwa ni msomaji tu kuliko kuchangia ,kutokana na matusi kejeli za humu ,

iko hivi haya mambo yashawahi nikuta,kipindi nina mtoto wa kwanza ,
Mwanamke alishawahi nizinguwa kipindi mtoto wangu akiwa mdogo ,alikuwa anashikwa masikio kwa kutaka kufanya biashara wakati mtoto akiwa mdogo na niliona wazi hawezi kumudu haya yote ,kwamba alee mtoto huku na biashara na ilihali hapo hafanyi biashara mambo yalikuwa mengi na anashindwa kuyahandle ,
Sasa kila nikimwelewesha jaribu kutulia lea kwanza mtoto akishakuwa basi utafanya unachotaka ,mimi sikuzui ,basi ikawa maneno na kelele hanielewi ,.
Sasa ilifika mahali ikawa ugomvi na kelele ndani mpaka kuna siku nikamzaba makofi ,basi akatangaza kwa ndgu zangu na kwao nimempiga ,bi mkubwa nae bila kufikiria akamwambia uje huku ,Basi bwana narudi mtu anapanga safari bila kuniambia ,nikamwambia usiondoke sitaki mwanangu awe mbali na mimi ,mwanamke hakusikia ,mimi nilivyoondoka asubuhi nikaacha hela ya matumizi kama kawaida ,
Niko njiani kuna rafiki yangu alinipigia simu kwamba kapigiwa simu na wife amsindikize ubungo asafari ,nikwambia usiende popote huyo mke wangu na sikumruhusu aondoke ,ila baada ya muda mwamba akanipigia siku anaona aende amsindikize shemeji maana analia ,Mimi nilichomjibu sawa ,
Nilivyorudi jioni nikakuta familia haipo washaondoka mimi sikumuuliza mtu kitu nikashafisha nyumba yako ,nikaendelea na maisha ,basi mwanamke alivyofika huko akapiga simu mimi sikupokea ,tumekaa wiki bi mkubwa ananipigia simu mimi sikumuuliza chochote kwamba familia imefika au vipi ,na tukiongea tunaongea mengine,na yule mwanamke akipiga simu mimi sipokei,Basi na yule mwamba nikamwambia chochote kitachompata mwanangu utakuwa responsible ,na mimi wala sitomwambia arudi ,yule alomwita basi siku akimchoka atamwambia arudi ,alompa nauli ya kwenda atampa yakurudi ,na alompelekea ubungo ndio atamrudisha ,na akishafika hapa kisha mimi ntamrudisha kwao ,
Yule mwanamke alikwenda kukaa huko kwetu kama miesi 6 sijawahi mpigia simu wala kumtumia chochote wala kupokea simu yake ,wazazi walisema mpaka basi ,nikamwambia hamuwezi mchukuwa mke wa mtu bila ruksa ya mume ,kwahiyo acha ajifunze adabu ,

MPAKA LEO ANAJUA AKIONDOKA BILA IDHINI YANGU MBONA SIHANGAIKI NAYE ,maana naye alikuwa anatumia kigezo cha kuwa nampenda mtoto wangu basi kama fimbo yakunichapia ,

SASA HATA KAMA NILIKUWA NAUMIA NILIJIKAZA sikuonyesha udhaifu wala kutetereka ,WANAWAKE WENGI HUTUMIA UDHAIFU WA WATOTO KUTUADHINU WANAUME ,usipokuwa na msimamo utateseka sana ,
So mwisho wa siku alirudi na hukumrudisha kwao
 
So mwisho wa siku alirudi na hukumrudisha kwao
Alivyorudi nilitaka kumrudisha kwao ,ila mzee alinisihi akaniomba sana ni msamehe ,maana mwanzo wazee wangu walikuwa upande wake nikawa naonekana mimi mkorofi nnamakosa ,ila baadae wakaja kuyaona matatizo yake. maana ilikwenda kwa kukaa kote huko hakujifunza mpaka ikapelekea nilimpa talaka ,baada ya kumpa ndo akili ikakaa sawa maana alinitishia niache kwani umenikuta juu ya mti ,maana alikwenda mpaka akazua uwongo mimi na bi mkubwa tunataka kunyan'ganya mtoto wakati haikuwa kweli ,na wakat mama alimsaidia na kumpigania sana na mpaka alimpeleka shule kwa gharama zake,ILA ALIKUJA KUMZUSHIA ,HAPO NDO BI MKUBWA AKAONA HUYU MTU SIO ,ajabu huyo huyo akawa anamwomba mama amwombee msamaha arudi na kweli akaomba msamaha ,MPAKA LEO YAAN ANAJUA KABISA NILISHAVURUGWA ,hata akiondoka huwa sistukii,MZEE wanawake wanaupuuzi mwingi sana (japo sio wote) kuishi nao kunahitaji uwe na upuuzi kuliko wao , NDOMANA watu wengi wakorofi watata ndio wanadumu katika ndoa ,WENGI wao hawapendi democrasia ,WAO WANATAKA SANA MTU AMBAYE MWENYE UTATA ,hapo watalalamika ila maisha yatasonga ,NA SI WATU WAKUWAPA MIA KWA MIA ,binafsi namchukulia mwanamke kama mchezaji wa mpira ,
kwanza hachelewi kuhama timu
pili hachelewi kuuza siri za timu kama utamshirikisha kwenye kamati ya ufundi ,SIKU ZOTE MWANAMKE MPE 50 hamsini zingine baki nazo ,USIJIMALIZE kupitiliza ATAKUUWA AU kukudhuru kwa namna yeyete ,WAKATI MWINGINE TUNAENDELEA KUBAKI NAO SABABU YA WATOTO TU wasipate shida
 
Kuna muda huwa nawaza nikimbilie mbali hata kazi niache kuliko kuwa karibu na huyu mwanamke
Don't u ever think kuacha kazi ambayo ndo inakupa kiburi mjini.

Kama ni kupiga chini wewe piga mwachie kila kitu and start over maisha yako mapya.

Haya yote ya duniani tutayaacha mwisho wa siku as long as utakavyomuachia pia vitawasaidia wanao.
 
Nina tatizo la kifamilia kila nikiwaza nimshirikishe rafiki yangu wa karibu nina sita wazazi wamesha solve lakini bado mwanamke anarudia rudia kutojirekebisha.

Yaani nina mawazo mno sijui nifanyeje ili niwe poa watoto tunao nawaza kuachana lakini naumia nikikumbuka watoto WHAT CAN I DO yaani nateseka kinoma.
Jaribu kutafuta muda mwafaka na weka mambo ambayo mnataka kujadiliana, halafu muulize mwenzako maoni yake anaonaje kuhusu jambo, anza na moja halafu usianze kwa kumwona mbaya na kumlaumu. Panga mikakati mtadanye ii jambo lisiruxiwe, mpe nafasi yeye atoe mawazo yake.
Tafuta wakati mna furaha au toka kwenda sehemu ta utulivu. Lengo kubwa liwe kutafuta suluhu, sio kugombana, inahitaji utulivu na uvumilivu kweli na usiwe mwepesi wa kusema mpaka mwenzako anapokamilisha maneno yake.
Usianze kwa kumshambulia, jadilianeni kama rafiki mnatafuta suluhisho.

Ikishindikana kwa njia hii ombeni ushauri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom