mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,985
- 9,309
Wana JF, natumai hamjambo wote huku mkiendelea kulijenga taifa kwa namna moja ama nyingine.
Moja kwa moja kwenye mada.
Najua huku kuna watu wenye taaluma mbalimbali ikiwemo kada za sociology na psychology mtawalia. Nachotaka kufahamu hususan katika zama hizi za utandawazi na mitandao, je kwa kupitia komenti na replies zozote mtandaoni anazozitoa mtu eidha kuchangia mada au kumjibu mtu je inawezekana kumsoma tabia yake au personality yake kwa kuisoma tu ile replies au komenti aliyoitoa?
Natanguliza shukurani za dhati kwa majibu yenu.
Karibuni