Hivi inawezekana kufanya transfer ya kusoma degree UDSM, kutoka Open University mwaka huu?

sio ajabu

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
217
138
Habari wakuu kama uzi unavyosema, mfano ukachaguliwa OPEN UNIVERSITY then transfer inawezekana kweli?
 
maana nauliza tuuu nategemea kuomba chuo kikuu mwaka huu., sasa kulingana na ufaulu wangu CSEE DIV,.1(16) , ACSEE 3(15) plus FOUNDATION mwaka huu HAPO HAPO OPEN
 
maana nauliza tuuu nategemea kuomba chuo kikuu mwaka huu., sasa kulingana na ufaulu wangu CSEE DIV,.1(16) , ACSEE 3(15) plus FOUNDATION mwaka huu HAPO HAPO OPEN
Omba tu, sifa unazo ikiwa FOUNDATION ulifanya poa. Omba competition isikutoe mbio.
Asikukatishe mtu tamaa.
 
Kwa ufaulu huo hata ukipelekwa UD, tegemea ku disco njiani...
Ufaulu wa kidato cha sita sio kigezo cha moja kwa moja kinachotanabaisha umahiri katika elimu ya juu... Mfano mzuri kuna watu waliwahi kufanya vibaya kidato cha sita na wakasoma UDSM hapo hapo kupitia kigezo cha mature age entry na wakatusua mfano mzuri ni Benard Membe ni zao la UDSM ila form 6 hakufanya vizuri(alipata daraja la 3m, James Rugemarila ni zao la UDSM pia form 6 hakufanya vizuri... Lakini pia wapo waliofanya vizuri kwa kupata daraja la kwanza form 6 wakaenda UDSM wakaliwa vichwa
 
habari wakuu kama uzi unavyosema , mfano ukachaguliwa OPEN UNIVERSITY then transfer inawezekana kweli ???? ,
maana nauliza tuuu nategemea kuomba chuo kikuu mwaka huu., sasa kulingana na ufaulu wangu CSEE DIV,.1(16) , ACSEE 3(15) plus FOUNDATION mwaka huu HAPO HAPO OPEN
Chief nenda moja kwa moja UDSM ofisi ya usajiri uliza kwa vigezo vyao unaqualify kuwa admitted pale wakikujibu yes omba then omba pia na huko OU selections zikitoka chagua pa kwenda

Usifikirie kwanza mambo ya transfer wakati selections bado
 
Yaan utoke kwa vilaz.a butu uend home of intellectuals kizembe tu?kaa hapo usome na wakufeli wenzako.ufaulu huo omba TEKU o jameskibira huko utapata.
habari wakuu kama uzi unavyosema , mfano ukachaguliwa OPEN UNIVERSITY then transfer inawezekana kweli ???? ,
 
Kwa ufaulu huo hata ukipelekwa UD, tegemea ku disco njiani...
Acha kudanganya watu,kupata one advance siyo kwamba ndo unaakili saana Inawezekana mtu alipanic tu wakati wa mtihani , nina mshikaji wangu alipata one ya 4 mimi ya 8, alidisco udsm first year wengine waleee hadi joho.......alichanganyikiwa baada ya disco saizi anapiga komoni mitaa ya Uyole pale.

Mkuu sio ajabu we pambana tu,ukiwa na lengo utafanikiwa

Besti wishezi
 
Acha kudanganya watu,kupata one advance siyo kwamba ndo unaakili saana Inawezekana mtu alipanic tu wakati wa mtihani nina mshikaji wangu alipata one ya 4 mimi ya 8, alidisco udsm first year wengine waleee hadi joho.......alichanganyikiwa baada ya disco saizi anapiga komoni mitaa ya Uyole pale.

Mkuu sio ajabu we pambana tu,ukiwa na lengo utafanikiwa

Besti wishezi

🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daaah
 
Back
Top Bottom