Hivi inawezekana ana ujauzito wangu kweli au ananizingua tu?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Habari za wakati huu wakuu wangu!ebana wiki iliyopita nilitoka na dame mmoja hvi,asa kutokana na mazingra niliyokutana na huyo gal,iliniwia ngumu kukumbuka suala la zana {condom},coz nilimtembelea rum kwao na bahat nzur alikua mwenyewe,so me nkaona nijisevie fasta fasta kabla ya wenzake hawajaja..asa leo kanitumia ujumbe eti anahis amenasa mimba,me nkajua anatania,bt amesisitza kwamba ni kweli ana mimba na lazima itakua ni yangu.sasa wakuu najiuliza,hvi mwanamke anaweza kuhis ana mimba within a week au ndo anataka kunishikisha?
 
kweli "anayejua" baba wa mtoto ni mwanamke!

unaibiwa mchana kweupe!demu kateleza!angekuambia huenda amenasa ngoja tusubirie hapo sawa!lakini kakuhakikishia kuwa ipo kwa vile ni kweli ipo lakini muwekaji sio wewe mkuu!
 
Si rahisi sana agundue ndani ya wiki moja labda wiki 2 but inategemea na siku mliokutana kama ilikua siku yai limepevuka but hadi wiki 2 ndo atapata ukweli vinginevyo unapigwa changa la macho.
 
Duuuuuh mkuu kwa kuwa umekiri dawa ya penzi uliweka pembeni basi nikuulize kitu kimoja?

Ilikuwa ndiyo mara ya kwanza kukutana na huyi demu au kalikuwa kamchezo lakini siku hiyo tu ilitokea bahati mbaya tu hukujiandaa dawa ya penzi?
 
hii ni mara ya pili tuna do.
 
unaibiwa mchana kweupe siyo hiyo, mimba unaweza kupima kuanzia siku kumi hadi kumi na nne, kama kweli kanasa
ushauri wangu kapime na ngoma pia muda kidogo ukipita, usije ukwa umenasa wewe na sio yeye kanasa,
 
ah ah dah watoto wa kike noma mi mmoja baada ya wiki 2 akaniambia kanasa na hawezi kuikeep kumpeleka kwa dokta kuipima ananiambia imezidi wiki 2 ...taratiibu nikamuacha paepalr kwa dokta
 
ah ah dah watoto wa kike noma mi mmoja baada ya wiki 2 akaniambia kanasa na hawezi kuikeep kumpeleka kwa dokta kuipima ananiambia imezidi wiki 2 ...taratiibu nikamuacha paepalr kwa dokta

safi sana iyo ndiyo dawa
 
Huyo ni tapeli kwanza hyo mimba inakua kama uyoga? Anakuibia mchana kweupe may be she feel your status ndo maana kakupakazia na kukubesha zigo lisilo lako mpige biti kali na onyo kali othewise atakusumbua sana manina zake
 
ah ah dah watoto wa kike noma mi mmoja baada ya wiki 2 akaniambia kanasa na hawezi kuikeep kumpeleka kwa dokta kuipima ananiambia imezidi wiki 2 ...taratiibu nikamuacha paepalr kwa dokta
unajiona umeshiiiinda.inawezekana hiyo mimba ikawa yako vile vile.madokta wanahesabu yao,ambayo mara nyingi wiki 2 zinapelekwa mbele.muulize mzizi mkavu
 
nyie wanaume mnajiona mmeshinda.kama hampendi hizo mimba,acheni huo mchezo kabisa,sio kwa kuwa mnatumia condom,mnajiona washindi wa kila kitu.responsibility zero kabisa.sex mnaiweka mbele
 
Sina la kukushauri labda nikuchagulie jina la mtoto ........
 
nyie wanaume mnajiona mmeshinda.kama hampendi hizo mimba,acheni huo mchezo kabisa,sio kwa kuwa mnatumia condom,mnajiona washindi wa kila kitu.responsibility zero kabisa.sex mnaiweka mbele

hapo umelonga kweli bana, wakati wa mchezo mambo safiii, mtu akiambiwa juhudi yake imezaa matunda anaanza kuhaha...
 
Back
Top Bottom