Hivi inakwaje watoto wadogo wanakuwa na madharau?

Kuna watoto wengine wana hisia kali sana, hata kama wamelala chumba cha pili, mkianza ku do tu mnamskia analia na hanyamazi mpaka umwachie mamaake. Wanauzi ajabu

hapo itabidi msichana wa kazi ambembeleze ili nye muendelee na shughuli
 
haswaa! Nimemzidi, kwani hujui kama wanaume tuna akili nyingi kuliko wanawake?

mkuu Bra-joe unadharau wanawake kiasi cha kukiri hadharani kuwa unamzidi mama yako akili?kwa hiyo wewe baba akifariki ukihitaji ushauri hutaenda kwa mamamko maana atakushauri kipi iwapo wewe una akili kumpita.kwanza unaweza kudhibitisha kisayansi kuwa wanaume wana akili kupita wanawake au ni imani zako tu za mwanaume wa kiafrika.
 
Last edited by a moderator:
haswaa! Nimemzidi, kwani hujui kama wanaume tuna akili nyingi kuliko wanawake?

wanaume wa aina gani unaowazungumzia labda wa race nyingine lakini hawa waafrika hamna kitu ona tulivyo maskini na tunaongozwa na mijanaume ati ina akili my foot!
 
Back
Top Bottom