Comi
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 3,328
- 955
Hivi mda mwingine akili zinahama au inakuwaje? Kila mtu ni shurti ajilinde yeye mwenyewe. Hakuna mtu ambaye anatafuta maisha au anajilinda ili fulani amsifie.
Utakuta mtu analalamika fulani anafanya hivi ili kuniangamiza. Kwani huwezi kutumia akili yako kujinasua katika huo mtego? Mara utasikia huyu mwanafunzi atanipeleka magereza, mara huyu mume wa mtu atanifanya niwe kilema, mara huyu dada ataniambukiza ukimwi. Hivi huwa akili na ufahamu unahama kama maji ya bahari? Nimeshindwa kuelewa wanajamvi