Hivi inakuwaje unampokea mgeni akishajua mji tu anakugeuka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi inakuwaje unampokea mgeni akishajua mji tu anakugeuka.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Natalia, Oct 26, 2012.

 1. N

  Natalia JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Watu wengi wakienda nje ya nchi wanapokewa vizuri na Mtu mpaka anatafutiwa kazi na kuonyeshwa mji ulivyo.akifanikiwa mwenyeji anakuwa mbaya tena why ?Mashoga Zako wanakuwa wake .maneno ya kutunga yatakayotoka hapo.na ukikutana na huyo Mtu anauchuna nawakati ulivyompokea alikuwa na zero dollar
   
 2. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  ...ni kweli. Ila wanyama wengine hawana kabisa tabia hiyo mbaya, wanafugika (kasoro kunguru).
   
 3. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wengi wetu hatuna shukrani hata kidogo, the best thing ni kusahau kama uliwahi saidia
   
 4. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Anaogopa utadai fadhila, ndiyo sababu anatengeneza bifu.
   
 5. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ni kweli binadam ndo tulivyo.. We vumilia,potezea 'laana automatic zinajinstall ktk maisha yake ipo siku atajuta.

  (Dah Natalia ukiamua mara moja moja una point!!)
   
 6. N

  Natalia JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Yalimkuta mdada mmoja hivi yaani alimsaidia huyo mgeni kutoka bongo .Alimfilisi alinvalia nguo zake na alimsema na kumzuishia maneno .huyo mgeni akaishia kurudishwa bongo
   
 7. N

  Natalia JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Naona wivu na karma
   
 8. wehoodie

  wehoodie JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 784
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 80
  without prejudice, watu wengine wakisaidia mtu ndio inakuwa kama una deni nao lao maisha.....unamsaidia mtu ukijua kuwa hiyo ni hatua ndogo tu ya maisha na yeye ana uhuru wa kufanya mambo yake usitegemee aendelee kukuabudu kama alivyokuwa na kamba mguuni....
   
 9. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Kama unataka kupokea wageni ili kila siku ujisikie superior ndo uta mind.

  Otherwise "Tenda wema wende zako, usingoje shukurani".
   
 10. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Wengine inakuwa njaa, roho mbaya na mambo kibao! inashangaza kweli huko huitwako ulaya weusi kwa weusi hawasalimiani barabarani! wakati waulaya wakikutana huku ze fest dee wanatowana out dinner! ni maroho mabaya tu wacha tuzeekee huku2 ndio kunatufaa!
   
 11. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Dah mimi sana imenitokea hii halafu sio watu baki hata katika jamaa wa family jamaa akishashika kdg pesa basi anageuka sijui inakuwaje hii
   
Loading...