Hivi inakuwaje mwanaume unavaa bukta ya kuchezea mpira ndani ya suruali badala ya boxer?

Mambembe

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
2,215
2,957
Jamani katika kitu kinachoniuzi ni kumuona mwanaume kavaa li bukta la kuchezea mpira ndani ya suruali yaani nakereka kuliko maelezo embu fikiria unakutana na mkaka kavaa kapendeza yaani yuko smart kuliko maelezo alafu kavaa libukta la mpira hivi wenzangu mnajisikiaje?

Kwanini mtu usivae boxer yako nzuri ya cotton uvae ndo utoke zako? Kuliko kuvaa hiyo mibukta inawafanya mtune utasema mmebeba mafurushi, hebu acheni hiyo tabiaaa bwana, huo ni uchafu, usmart wa mwanaume upo kwenye boxer na sio kuvaa mabukta kama mnaenda mpirani.

Alafu hamna kitu kizuri na kinachopendeza kama kumkuta bwana ako kavaaa boxer yaani unakuwa hata comfortable kumvuaa nguo sasa ukikuta mtu kavaa mipensi stimu zote zinakata.

1625746763755.png

 
Hata mimi huwa nawashangaa alafu linaonekana yan nikiona mwanaume kavaa hivyo hata hamu inaniisha na huwa nakata stimu balaaa na mtu wa hivyo haezi nigusa hata mkono wangu maana najua moja kwa moja kuwa huyu mtu ni mchafu wanaume mbadilike
 
Hilo bukta anavaa ndani ya suruali au inakuwaje!! Maana sijawahi ona hiyo!!
Mbona wapo kibao jaman yaan wengi tu unakuta mtu kapendezaa alafu ndani kavaa bonge la bukta ndani ya suruali
 
Back
Top Bottom