Hivi inakuwaje mwanaume unavaa bukta la kuchezea mpira ndani ya suruali badala ya boxer?

Mambembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Messages
2,047
Points
2,000

Mambembe

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2018
2,047 2,000
Jamani katika kitu kinachoniuzi ni kumuona mwanaume kavaa li bukta la kuchezea mpira ndani ya suruali yaani nakereka kuliko maelezo embu fikiria unakutana na mkaka kavaa kapendeza yaani yuko smart kuliko maelezo alafu kavaa libukta la mpira hivi wenzangu mnajisikiaje?

Kwanini mtu usivae boxer yako nzuri ya cotton uvae ndo utoke zako?kuliko kuvaa hiyo mibukta inawafanya mtune utasema mmebeba mafurushi, hebu acheni hiyo tabiaaa bwana,huo ni uchafu ,usmart wa mwanaume upo kwenye boxer na sio kuvaa mabukta kama mnaenda mpirani.

Alafu hamna kitu kizuri na kinachopendeza kama kumkuta bwana ako kavaaa boxer yaani unakuwa hata comfortable kumvuaa nguo sasa ukikuta mtu kavaa mipensi stimu zote zinakata
 

Mambembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Messages
2,047
Points
2,000

Mambembe

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2018
2,047 2,000
Nivae ti
Weee unavaaga chupi tu km vazi landan???.

Kama unavaa na taiti ,basi uzi wako hauna maana.

Nkm unavaa chupi tu ,basi weee ni ........
Hivi mpkaa miaka hii kuna wanawake wanavaa taiti??labda nikiwa naenda gym au kukimbiaa weeknd lakini kitu chupi babuu wewe
 

Mambembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Messages
2,047
Points
2,000

Mambembe

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2018
2,047 2,000
bukta inakupa hewa kunako makende,tofauti na boxer ambazo hazitoi mwanya wa kupita hewa pia ukivaa bokta dushe linapata nafasi ya kukua na kunawili vizuri
Mbona kuna boxer nzuri saana jaman large na Xxl alafu nyepesi tu pale postaa kuna duka la boxer kibao alafu bei rahisi tu
 

Forum statistics

Threads 1,367,279
Members 521,708
Posts 33,394,027
Top