hivi inakuwaje mwanaume unaoa then unaenda kuishi ukweni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi inakuwaje mwanaume unaoa then unaenda kuishi ukweni?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rapunzel, Jul 5, 2012.

 1. Rapunzel

  Rapunzel JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,089
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Jamani kuna wanaume ambao wanaoa then wanaenda kuweka kambi kwa wazazi wa mke yaani ukweni, hivi utakuwa na sauti kweli ya kuongea juu ya mkeo? c utakuwa kazi yako we kucheka tu kama ***** na wanaume mnalichukuliaje hili? tabia hii inakera bwana.
   
 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,496
  Trophy Points: 280
  vipi wa lwalo yuko ukweni nini? LOL

  Kikwetu hiyo 'hairuhusiwi ' kabisa ni uvunjifu mkubwa wa mila na desturi, unavunja heshima ya jamii yenu na ya kwkao kama mwanaume so unadharaulika mazima. Hata kulala kule bila sababu maalum hairuhusiwi kabisa

  sasa huyo nahisi sio mwanaume kamili...ana matatizo gani? hana nyumba? kazi?
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,839
  Trophy Points: 280
  Hii usabibishwa na hali mbaya ya maisha. lakini mi si support kukaa ukweni kabisa, kama mtu ujiwezi kimaisha kwa nini utake kuoa?

  Ni vizuri kujipanga kabla ya kuoa, kuliko kudharirika ukweni.
  Ina tia haibu sana.
   
 4. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Je mwanamke kuka ukweni nayo inakuaje? Maana kuna vijana wanaoa maisha yakikwama wanapeleka wake zao nyumbani kwa wazazi wao, wanaanza kujipanga upya, he he he
  Mtu unahamia ukweni hii ni zaidi ya noma,
   
 5. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Ki_kwetu ukifanya hivyo adhabu yake ni kupigwa mawe hadi upoteze fahamu,....ahahahahahaaaaaaaaaaaa mambo ya waswahili hayo.
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  elements of chauvinism ..
   
 7. Rapunzel

  Rapunzel JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,089
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kaizer, we acha tu tuna kaka yetu isee tena wa pekee, ana kazi mnzuri tu ila sijuhi nini kimempata wadada tumekaa kupanga kila mbinu ya kumchomoa atleast wakapange ila braza kang'ang'ana ukweni ndio kwanza anamwambia mkewe dada zangu wasumbufu kweli! mwanamke nae hataki hata kutusikia, na kabla hajamuoa alikuwa amepanga nyumba mnzima sinza ila alivyo muoa tuu kahamishia vilago ukweni, inauma sana kwa kweli
   
 8. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,496
  Trophy Points: 280
  ooh sasa hii ndo nasema sio kawaida! just the way unavoona kuwa sio sawa kabisa. Kabila gani kama hutojali (la mwanamke na mwanaume)
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Yaani kaenda kuishi kwa baba na mama wa mkewe???

  Bora kama mkewe angekuwa keshajenga nyumba yake hapo anaweza kuishi na mmewe.

  Kuwa mwanamme ni akili sio mavazi.
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  ndi maana tunapenda mila zetu.....tusije washangaza wazee bure.....home sweet home....if you no wora ai min....
   
 11. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,496
  Trophy Points: 280
  Halafu Preta hebu nicheki kwen roja roja asap.....hii sio njema kabisa...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  halafu wewe.....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Mwanawalwa

  Mwanawalwa JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,015
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  dah kazi kweli mi dadangu alizaa na jianaume moja hivi halijielewi ,sasa dadangu anaishi mkoani mumewe alikuja training mjini akafikia nyumbani kakaa miezi 3 bila haya mijianaume mingine bana? tulimshauri dadetu atafakari juu ya hilo jianaume kwani hana haya anakaa kwa miezi3 na mamamkwe nyumba moja yani nililidharau sana lile jianaume nashukuru lilipigwa chini(aliachwa) na dadetu
   
 14. B

  Babrat Member

  #14
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yani niolewe then mume aniambie tukakae kwenu,duh!! Ni bora tukapange hata kakichumba kamoja ila si kukaa kwetu
   
 15. Ngararimu

  Ngararimu Senior Member

  #15
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Jamani naomba niwashirikishe hii story ni ya kweli na imetokea. Mimi ni mchaga na nimeoa mchaga na wote tunaishi Dar mke wangu yeye wazazi wake wana hali nzuri kule moshi na wana nyumba nzuri sana kule kijijini wakati mimi kule kwangu kuna kibanda cha matope tuu. Tangu tulipooana ndugu za mke wanakaa kwangu mpaka leo wa kike na wa kiume. Pia wakwe zangu huwa wananitembelea na wanakaa kwangu wakija Dar. Sasa kuna mwaka Fulani kulitokea msiba moshi nikasafiri na mke wangu kwenda kuzika baada ya mazishi nikawa nimeamua kwenda kulala moshi mjini, tulipomuaga mama mkwe akatuambia hapana laleni tuu hapa nyumbani mbona kuna room ambazo hazina watu? Basi tukaamua kupaki gari letu nje tukaingia ndani mapema tukalala maanatulikuwa tumechoka kwa safari. Shemeji yangu aliporudi akakuta gari nje alimuuliza mama yake, hawa mbona wameacha gari hapa wammeenda wapi? Mama mkwe akamjibu kuwa wamechoka wamelala. Jambo hilo lilimchukiza sana shemeji yangu na nilipoamka asubuhi kumuga kuwa nasafiri kurudi Dar alinitizama kwa ghadhabu sana na kuniuliza . Hivi nani alikuruhusu kupaki gari hapa nyumbani na kama usingelikuta asubuhi hii ungemuuliza nani?. Swali hili lilinikera sana na nikamjibu si ningekuuliza wewe ambaye ndiye mwenyeji wangu?. Akaniambia kuanzia leo sitaki uwe unalala hapa nyumbani. Kauli hii iliniudhi sana na kwa sababu mke wangu ambaye ni dada yake alikuwepo na alikuwa anasikia maneno hayo, mimi nilimjibu sawa wala hutakaa unione tena hapa na huyu dada yako ambaye ndiye aliyenileta hapa ana hiari yake kuondoka na mimi for good au kubaki hapa for good. Mama watoto aliamua kuingia kwenye gari analia njia nzima mpaka Dar. Basi tulipofika dar nilimwambia mama watoto afanye utaratibu wa kuwaondoa wadogogo zake wa kike ambao walikuwa wanakaa kwetu na pia watoto wawili wa kaka zake wengine waliokuwa wanakaa kwetu wakiwa wanasoma wafanyiwe utaratibu wa kuhama pale maana sikuona sababu ya kuendelea kuwasaidia tena. Uamuzi huo haukuweza kutekelezeka kwa sababu kila nilipomtaka mke wangu awaeleze ndugu zake uamuzi wangu huo alikuwa analia tuu na kudai kuwa namuonea na nia yangu ni kumtesa kwa masimango ili afe na kwamba yeye hatofanya hivyo ila mimi niendelee tu kumtesa mpaka afe na tutakutana kwa mungu siku ya judgement ndipo itakapojulikana kama ni haki mtu kumuua mwenza wake kwa kosa ambalo siyo lake. Niliamua kubadilisha msimamo wangu na mpaka leo naishi na ndugu wa mke wangu na watoto wa kaka zake ili yeye afurahi tuu na sii vinginevyo. Niliamua kwenda kujenga haraka mahali pa kuwa nafikia na mpaka leo huwa nikienda ukweni huwa nasalimia nikiwa nimesimama wala sikai.
  My take: mila za kiafrika ni kandamizi sana hakuna mahali ambapo zinampa favour kijana wa kiume ukweni hata kidogo. Hivyo wale ambao hawajaoa wafikirie mara mbili kabla ya kufanya maamuzi.
   
 16. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #16
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Hapo atakuwa kachezewa kiutamaduni....
   
 17. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Si kitu kizuri kwenda kuishi ukweni, ila unatakiwa kwenda kutembea tu na kurudi si kulala na kuishi huko, utapoteza baadhi ya sifa ukweni.
   
 18. no9

  no9 Senior Member

  #18
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mnatutisha tulioa huko uchagani kwa stye hiyo mie najua ukienda ukweni ni sawa na kwetu hata siku ya ndoa familia huunganishwa kuwa kitu kimoja kuna wengine wamelelewa na wajomba na wengine na shangazi sio kuhamia. mara moja moja sio mbaya kuna mila zinazuia mtoto wa kike aliyeolewa kulala kwenye msiba wakwao
   
 19. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #19
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hiyo biashara sifanyi, ni bora nikaishi kwa rafiki,ndugu au nikae guest house kuliko kwa wakwe
   
 20. client3

  client3 JF-Expert Member

  #20
  Jul 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2007
  Messages: 742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  kwa hiyo ukakasirika kikwelikweliiiii....hahahahahaha
   
Loading...