Hivi inakuwaje mwanaume unamsomesha mwanamke na hata si mke wako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi inakuwaje mwanaume unamsomesha mwanamke na hata si mke wako

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Natalia, Oct 28, 2012.

 1. N

  Natalia JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Kila siku huwa wanaachwa ,utakuta mtu anamkatia ticket tafuta visa mtu anakuja USA anasomeshwa na anamwacha huyo mwanaume.kuna mdada alisomeshwa udaktari 7 years mdada akapata udaktari mdada akafake amebakwa akaitwa police kumbe ni boyfriend Aliyemleta na aliyemsomesha.mkaka akafungwa na alikuwa busy kumsomesha girlfriend na hakuwa na makaratasi mkaka akarudishwa bongo.mkaka kurudi bongo tu mzazi wake akafa ,aliridhi pesa nyingi tu huyu mdada kusikia wacha amfuate bongo aka mkuta kaoa mwarabu.mdada sasa hivi kaishia na brother men. Kakosa mwanaume aliyempenda
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hebu malizia basi, ili nipate cha kuchangia
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  kwani kila ukipanda lazima uvune??

  Wengine miba huwasonga, wengine huliwa na ndege, wengine huanguka mwambani, na wachache rutubani, nao humea na kuzaa matunda.
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  ni mapenzi.....
  Kama hujawahi penda huwezi jua.....

  Na haswa ukipenda na kuinvest kama mtarajiwa wako
   
 5. N

  Natalia JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Dada alidanganya kabakwa na mwanaume anayemsomesha.akamshtaki Hana makaratasi.mwanaume anaekusomesha
   
 6. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Tenda wema nenda zako....
   
 7. N

  Natalia JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Duh yaani Kama ndio tenda wema
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  yote ni matokeo ya mapenzi..... Kuna kupata na kukosa.... Mapenzi ni kutake risk.... Ukiwin hewala ukiloose hewala....
   
 9. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Natalia wewe kama wewe unajifunza nini kwa hilo na unataka kuwaambiaje wanaume wanaojitwisha majukumu kama hayo kwa imani ya kufikirika?
   
 10. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha Mkuu.. Kwenye biashara ndo una-take risk.. Mwenye mahaba unacheza kamari.. Ukiliwa unaishia kimya kimya.. Hakuna kuarifiana hapo..
   
 11. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mwe!!! hao wanakuwa hamnazo kabisa....yaani mie ata mke wangu simsomeshi. ashindwe someshwa na wazazi wake ndio mie nifanye hiyo kazi.
   
 12. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tenda wema nenda zako!
   
 13. Lyamber

  Lyamber JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 4,195
  Likes Received: 2,637
  Trophy Points: 280
  average kusomesha mtu marekani udaktari ni arnd usd 300,000 hiyo ni med school, kweli mtu asiye na makaratasi anaweza afford kiasi hicho cha pesa?
   
 14. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Halafu mkiambiwa wanawake mnabadilika kama kinyonga mnakataa! nakini sometimes nawalaumu na hao
  wanaume, hivi kweli mwanaume unakimbiwa na mwanamke!! huko ni kukosa kuwajibika, kwangu haijawahi wala
  haitawahi kutokea, bora ni babaishe pengine lakini si wakati wa mpambano!!
   
 15. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  I like this, the parable of the 'sower' uko kama wa seminari weye.
   
 16. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hata sijaelewa maana naona mara mkaka .... mara madada ...haya bhana....mara brotherman....du.......!:glasses-nerdy:
   
 17. next

  next JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 601
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  receive a thousand likes bro.
   
 18. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Labda alikuwa muuza Unga u never know, si unakumbuka kina Othman Njaidi walivyotesa Marekani kwa pesa za wizi?
   
Loading...