Hivi inakuwaje mwanamke unaenda na Tishu msalani

Mi nafikiri mtoa mada hajui matumizi ya tissue kwa Dada zetu.
Mjomba siku nyingine use unafanya tafiti kidogo kabla hujaongea.
Huwa wanafanya hivi, baada ya kujisuuza na maji hutumia hizo tishu kukausha mile kiungo na sehemu zote za maja au tako zilizolowa.

Wengine huenda mbali zaidi kabla hajaanza kukojoa huziangusha au kulaza zile tisu ili mkojo usigonge kwa nguvu na kumrudia.

Watanirekebisha kama nimekosea
 
Mwanamke kabisa unachukua Tishu unaenda chooni,
ukirudi unakaa na watu kabisa, tena unajisikia amani.
So sad!
Huyu jamaa katokea kazulamimba kigoma vijijini, hajui Matumizi ya tissue, sehemu zilizoendelea tissue zinakuwa ndani ya choo au nje ukimaliza kujitawaza na maji unakaushia tissue. Vyoo vingi uku kwetu havina tissue hivyo watu utembea nazo Kwa emergency. Kama umezoea magunzi, majani ya mihogo, au miti mikavu kukwangua matakoni ni wewe, siyo wote wenye tabia kama zako.
 
Mwanamke kabisa unachukua Tishu unaenda chooni,
ukirudi unakaa na watu kabisa, tena unajisikia amani.
So sad!
NI HIVII...

Wengi huwa wanatumia kwa kujikausha baada ya kutawaza kwa maji?

Wazungu, Wasouth na Wakenya ndio wanatumia sana tissue...na huwa sisikii wakilalamika kupatwa na UTI

Hawa wanaotumia maji pekee ndio wenye UTI.

Check out...!
 
Mi nafikiri mtoa mada hajui matumizi ya tissue kwa Dada zetu.
Mjomba siku nyingine use unafanya tafiti kidogo kabla hujaongea.
Huwa wanafanya hivi, baada ya kujisuuza na maji hutumia hizo tishu kukausha mile kiungo na sehemu zote za maja au tako zilizolowa.

Wengine huenda mbali zaidi kabla hajaanza kukojoa huziangusha au kulaza zile tisu ili mkojo usigonge kwa nguvu na kumrudia.

Watanirekebisha kama nimekosea
Mkuu uliyajulia wapi yote haya au huwa unampiga chabo shemeji yetu akienda msalani??
 
Mwislamu safi ambaye unapenda kubaki na udhu akiwa sehemu haina maji kama kijijini au ukisafiri na Basi na mnafika porini mnaambiwa mchimbe dawa, baada ya haja ndogo huchukua jiwe au majani kukausha mkojo. Hii ni kwa wanaume tu . Wanawake wengi huwa wanajihami kwa kuwa na tissue katika sehemu kama hizi. Hakuna ubaya wowote kisayansi mtu yeyote kutumia tissue mahala popote.Mtu anayejali kutumia sana tissue safi anaonyesha ustaarabu wa hali ya juu.
 
Mtoa post jibu maswali unayoulizwa,tissue kazi yake nini?au umezoea kusafishia chupa ya bia tu mkuu?hata kukaushia maji baada ya kunawa pia ni matumizi,
Mwongozo wako mkuu kazi ya tissue ni nini
 
Uwe unauliza na sio kukurupuka tu..

Tissue ina matumizi mengi,hasa kwa watoto wa kike(wanawake)
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom