Hivi inakuwaje mtu mzima na akili timamu anaenda kwa mganga wa kienyeji

Pesa sina,nguvu sina ,mkwara sina, sasa hata kuroga niwe cjui!??/aahhh si nita......mbewa mke kizembe!?? Uchawi muhimu aiseee!!! Yan ukiingua 18 zangu nakifuta tuuu!!! Naenda kwa msisi Tanga nakutengenezea booonge la ajali
 
Pesa sina,nguvu sina ,mkwara sina, sasa hata kuroga niwe cjui!??/aahhh si nita......mbewa mke kizembe!?? Uchawi muhimu aiseee!!! Yan ukiingua 18 zangu nakifuta tuuu!!! Naenda kwa msisi Tanga nakutengenezea booonge la ajali
mhh kazi ipo mkuu
 
Fuateni asili zenu,mtu unaenda kanisani unamuomba mtakatifu Yakobo akuombee,unaacha kumuomba babu yako unayemfahamu akuombee huko aliko ufanikiwe.Watu mmeacha mizimu ya kwenu,eti mnawaomba wazungu ambao walishakufa pia,wawaombee,mambo haya bhana.
 
Wewe sijakukuta kwenye milima ya Ugweno kwa mtaalam kweli! Au ninakufananisha. Wanaopinga uganga ni vinara na wateja wazuri wa kalumanzila.
 
Usimshangae sanaa..hujafa hujaumbika

chanzo kikubwa ni kutoweza kuhimili misukosuko ya maisha na kuyumba imani kwa Mungu...

Ukiweza sema Alhamdullilah alaa kul haal basiii utakua radhi kwa shida na raha ulizopangiwa ktk maisha na Mungu...

Japo ni ngumu sn
Subra wkt wa magumu si nyepesi
 
Kwanza fafanua mganga wa kienyeji ni yupi.
1. Mganga wa tiba asili za kienyeji
2. Mganga Muaguzi mrozi mchawi
3. Mganga tapeli.

Kama unamaanisha mganga namba moja na mbili basi uko sahihi.
Hao ni matepeli watakao kutia hasara tu, hasara ya kiroho na kimwili na kimapato.

Mganga namba moja hana tatizo kwakuwa anatumia dawa toka katika mimea ya asili.
 
Ni imani mkuu.... loss of cultural values ndio imepelekea tuone ni issue.... I am not easy to judge
 
kuloga kuna faida
nisingekuwa naloga ningekuwa nasugua benchi mpaka leo

ni imani tu kama anaeamini kanisani au msikitini
Kwa mtu mwenyewe unayeenda kuroga anaishi kwenye kibanda cha nyasi.........tembelea Tunduma, Mbozi wale waliokuwa matajiri wakubwa kwa kuroga, hata nyumba zilizojengwa kwa hela ya ndumba nayo huwa inabomoka...ni suala la muda tu
 
kw
Mganga ni nani?

Kwa mganga kinafanyika nini?

Je, ni mgonjwa au mtu mzima mwenye kumuhitaji mganga?

Bila shaka mtu mzima hamuhitaji mganga ila yule mgonjwa

YOTE NI UBATILI, Njoo KWA MUNGU
kwa Mungu ndio wapi huko zote ni aina za kishirikina
 
Back
Top Bottom