Hivi inakuwaje mtu anafia Kifuani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi inakuwaje mtu anafia Kifuani?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by GAZETI, Sep 11, 2012.

 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,562
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Ni mara mbili moja ikiwa ni kwa kusikia huku mara ya pili
  nikiwa karibu kabisa na eneo la tukio.
  Huyu wa kwanza alikuwa kijana wa miaka kati ya 30 na 33
  namfahamu tulikuwa tunacheza naye mpira, huyu wa pili
  (Namsitiri) huyu ni mwalimu wa chuo fulani (45 -50)
  (Tukio la pili lilikuwa mwaka 1999)
  Alimuaga mkewekuwa anaenda Mbeya kumbe alienda
  Guest na Mwanamke Mauti yakamkuta, Alipoulizwa
  yule mwanamke aliyekuwa naye
  akasema KAFIA KIFUANI WAKATI ANA....... Hata Sasa naombeni
  mnisaidie hili linawezekana vipi? au mtu unaweza kufa ukifanya
  yale mambo huku ukiwa na njaa? Au nini kinaweza kukufanya ufie pale.

   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Hata na mimi sijui, huenda ikawa heart failure!
   
 3. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hivi katibu wa chama kile akifia kifuani utashangaa?Hii ni kuendesha gari lisiloendana na wewe.Una miaka 70 unataka kuoa msichana wa miaka 25 Kwanini usifie kifuani
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1::biggrin1:
   
 5. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Wee Ilumbuye, Ukulala nisana........

  Hahahaaa, hiyo heart failure imesababishwa na nini? Viagra Mwitu au ya Mjini?

  Isije kuwa kama yule MC wa Moshi aliyepewa vitu kwa nguvu na kabla ya hapo alishapata REDBULL zake na Konyagi.

  Hizi REDBULL zinauwa jamani, si za kuvamia tu eti kisa ukajionyeshe wewe KIDUME aka NGOSHA.

  Ngoja nipate kiusingizi kidogooo.... Majogoo hapa SIKONGE yanawika sasa :)
   
 6. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Sijui bwana, lkn kaka yangu Sikonge si kuna wengine huzimia (hasa kina dada) kwa utamu; nafikiri wanaoRIP nao moyo unashindwa kuhimili utamu pia! LOL

  Halafu hiyo ya dume la ng'ombe jekundu halifai kabisa, bora ile ya kinyamwezi asali mbichi na karanga mbichi.

  Haya lali mpola kaka, iswe twatunula tayari; usingizi umeparama.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Kanyapini

  Kanyapini JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  HTN, Heart attack, Cardiac failure, MI, Stroke, Pulmonary Embolism.................. :shetani::shetani:
   
Loading...