Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

Kwani mtaala wa fani zao una sehemu watu wanapaswa ku cover Alama katika pesa..?
Kama hakuna basi hio knowledge haina mashiko.
Jiongeze sio kila kitu kiko covered kwenye sylabuss learn outside the box pia
 

Attachments

  • baboon wekundu wa msimbazi.jpg
    baboon wekundu wa msimbazi.jpg
    7.6 KB · Views: 1
SWALI LA HOVYO SANA NA PANEL NZIMA HAIKUWA MAKINI YOU NEED TO REIEW QUESTIONS HILO SIO SWALI KABISA...FINANCE MANAGER KUJUA NOTI INA PICHA GANI DUUU
 
Una
Consultant aliyetoa hilo swali tulimbeza kuwa haliwezi saidia chuja waomba kazi lakini akasema take from me hilo swali litawabwaga, baada ya mjadala mrefu tukakubali libebe asilimia 70 baada ya ku conconvince. Na kweli consultant ka prove kuwa yuko right, Candidates 75 walioomba hakuna aliyepita kwa swali dogo tu hilo.
Bahati uko mbali maana hata nilikuuliza unaweza google au kutafuta references. Hata wewe unaweza ukaulizwa swali la kijinga kama hilo ukibananishwa na ukashindwa kujibu.
 
Aisee imeniuma walikuja wamelamba masuti na mitai shingoni, viatu vinang'aa sikuamini kwao kushindwa kujibu swali dogo kama hilo. Kuna tatizo sio kwenye elimu yetu lakini nadhani wasomi wetu wanakariri tu masomo na hawajui hasa wanasoma nini? Nimepata shock serious .Sijawahi maisha yangu yote kuwa shocked kiasi hiki.
Sijaona mantiki ya hilo swali. Kwenye mambo ya fedha kuna mengi sana sio huo upuuzi wa kuulizana kwenye noti kuna mnyama gani. I believe interview haitapata right person. Wataalam wa interviews zenye kugundua weledi na ujuzi kama say pricewater coopers hawawezi kuuliza huo ujinga.

Unauliza maswali kama hayo ili yasaidie nini kwenye kutafuta mtaalam wa fedha ovyo kabisa
 
Mwl wangu wa Advance Maths aliwahi kuniambia " Ukitaka kupambana na Tembo jifunze kwanza kupambana na sisimizi"
 
Kwa hali niliyoona nadhani tatizo la ajira linasingiziwa wasomi wetu wakipigwa simple questions tu wako weupe vichwani hata swali dogo tu kama hilo ambalo lina match na fani zao kabisa.
Sioni chochote cha kulaumu hapo. Hata leo ukiambiwa uchore bendera ya Taifa kwa kushtukiza, upangilie kama zilivyo, utachemka. Na kadri unavyosoma zaidi, mambo ya zamani ni rahisi kusahau.
 
Watafute mtu mwenye darasa la Saba...akijibu Hilo swali...wampe...kazi...

Hatuwezi dharau taaluma za watu kisa kutojua swali Kama Hilo...

Kama wewe unajua hilo.swali linatosha kumuajiri mhasibu.... Basi fanya wewe hiyo kazi ya uhasibu...Jibu SI unalijua

Rubbish
 
Nlifanya interview Empower...HAWANA Maswali ya KIPUUUZI Kama haya..

WANAKUULIZA maswali yanayoendana na taaaluma..

Sasa mhasibu Kuna topic ya kujua kwanzia shilling hamsini Hadi elfu kumi...Zina Alama gani...

Duties zake...zakila siku atakua anaangalia TEMBO kwenye elfu KUMI...

huyo consultant msimuajiri TENA.....hajui NINI ANAFANYA
 
Yani kundi la watu (na wewe ukiwemo) mnakubaliana kuuliza picha iliyopo kwenye noti ili kupima ubora wa FINANCE MANAGER..!!!?
Yaaani Huyu HR...hajui Majukumu ya Finance Manager?...


Khaaaaaaa.....yaani Manager Ni senior position ... manager Ni kiongozi...
Unamuuliza maswali ya noti ya elfu kumi....

Nawapa swali jingine Noti ya elfu kumi Ina number ngapi ubavuni kwake.....kamuulize hili Head of finance....lazima atakua anajua..
 
Leo nimemkuta binti kwenye daladala anajisomea.
Nikachungulia nikaona
Types of listening
Importance of listening.
Nikasema kama University kwenyewe wanafundisha upumbavu huu ni heri mwanangu P aishie form four nimpe mtaji akalime parachichi za kisasa.
Hayo Ni maamuzi yako..Hata ukiamua akae TU nyumbani ...pia Ni sawa
 
We mwenyewe hapo unajikuta una elimu eti below standard mtihani mtihani tu acha kuleta dharau kila kitu kilaumu wasomi wa tz wameshindwa basi ukipata vijpesa kidogo eti wanashindwa kujibu wangejibu wote kwa ufasaha mngewaajiri wote
 
Juyo kukosea ruksa sababu ni Mwanasayansi sio mwana historia angekuwa kasomea historia akakosea hapo sawa sababu ingekuwa ni area yake. Kwenye area yake ya sayansi yuko vizuri ndio maana aligundua hadi mapapai kuwa yana corona

Tatizo mtu kwa nmomi ambaye kasoma mambo ya pesa halafu haijui pesa !!! ni jambo la kushangaza. Hajui hata noti ya elfu 10 ina mnyama gani halafu anaomba kazi ya pesa!!!
Mkuuu...hatusomi Noti za nchi mbali mbali kwenye uhasibu....plse..

Huyo consultant is a Fool...mlipa kazi ya kuwakosesha watu sio kupata mtu...
 
Just imagine mtu kutoka.Kenya angekuuja kwenye hiyo interview...au unafikria uhasibu Ni fani wanasoma watanzania Tu.....

Mtu akiwa mhasibu anaweza fanya kazi nchi yoyote... Ile..

Ina maana Mimi nikienda kufanya interview Kenya...hili ndo swali natakiwa kuulzwa...

Wewe HR na huyo consultant....Ni mabogus...tena ndo nyie mnaitwa Mediocres.
 
Nlishawai kwenda kwenye interview ya UHasibu ..wakaniuliza. Nitaje Mawaziri wakuu Wote wa Tanzania tangia UHURU........

Nakuna interview nshaenda Pale CBA bank....nliulizwa maswali nikajiona Sikujiandaaa...vyema....unafeli unakubali kuwa ulitakiwa Ujue Ila hujui....


Acheni kuzadharua Taaluma za watu...kwa kuwapima vitu vya nje ya taaluma yao
 
Back
Top Bottom