chupaku tatizo ni kuwa hawezi kuwafukuza sababu sio yeye aliyewaweka hapo!
This is totally unacceptable! Hata kwenye movie huwa haiwi hivyo. Huu si mchezo wa kuigiza, these people must be held accountable, kama wanakagua viti itakuwa magari? Au ndio nao huwa wanatazama fuel ipo full tank basi wanang'oa. Mimi wala nisingechunguza, ningewashughulikia tu, fault ktk gari ya president must be reduced to a minimal au zusiwepo kabisa. Hayo mambo ya magari ya sijui wapi, yanakuwaga na faulty, ni kawaida, sielewi. Bahati yenu sipo huko jikoni