Hivi inakuwaje Dume zima unaenda kuishi kwao na mwanamke au kwa demu na unakuwa "comfortable" kabisa !!

trick ya kuua Simba na trick ya kutafuta pesa ni tricks mbili tofauti.
kua uyaone mdogo wangu.
waweza kunipita kiumri ila nimekupita kifikra na maarifa so bado utakuwa dogo tu.
In today's era inamaanisha kufanya jambo kubwa ambalo mtu wa kawaida hawezi fanya. Mfano kuwa na hela nyingi au kuishi maisha na siyo kusindikiza watu kuishi maisha
 
Ngoja waje wakumwague povu la omo..

Yote 9, 10 jamaa yangu nakuona hapo andunje mbavu mkate unamdengulia demu..
Hahaa
 
Sasa kakubali mwanamke, familia yake imekubali, wewe yanakuhusu nini wakati una mambo makubwa ya kufanya kwenye maisha yako?!
Pambana na hali yako na maisha yako, ya mwenzako hayakuhusu...period ama sivyo utakosa focus na mambo yanayokuhusu wewe ambayo tunaamini yako mengi mno...
 
Maadili ya sasa ni tofauti sana na ya zamani.
Pia Ugumu wa maisha unaweza sababisha mtu kukaa kwa mwanamke. Na hata kutunzwa na mwanamke.

Nadhani inaruhusiwa kusaidiana kwenye maisha, ila iwe na kikomo sasa.

Mwanaume ni Muhimu kupambana kwa hali yoyote ile. Najua Kufeli kupo ila kuwe kwa kipindi cha muda.
 
Back
Top Bottom