Hivi inakuaje mwanamke analalamika wanaume tumekuwa wabahili wakati wenyewe wanawake ndio wabahili?

secretary POMPEO

JF-Expert Member
Feb 12, 2020
1,514
2,000
Kiukweli mimi kama mimi (sijui wenzangu), mimi sio m'bahili walanini, kama mwanamke usipokua m'bahili wa dhahabu yake hata mimi sitakua m'bahili kabisa, nitaitoa pesa bila kuionea huruma kabisa na nitainunua dhahabu kwa bei mbaya (ila iwe dhahabu safi isiwe makapi).

Ubahili wangu na wanaume wengi wetu tunaamua kua wabahili maana wanawake wenyewe wanatubania sana Ile burudani pendwa, sasa wewe burudani hutoi sasa mimi nitatoa pesa yanini???

Badilikeni pesa wanaume tunazo tatizo msitubanie Uhouse, Uhouse ni kitu ambacho ukimpa mwanaume to the maximum anaweza akakufanyia unachokitaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom