Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,554
Kuna m2 kaja hapa job; lakini kajenga mazingira ya kuniamini sana hadi nakuwa na wasiwasi.
Ni mara yangu ya kwanza kuonana naye;
Namba yangu ya cm kapewa na rafiki yake ambaye nafahamiana naye kitambo;
Alipoipata tu kapiga sm na kuniuliza nilipo; haikuchukua zaidi ya lisaa limoja - akapiga sm akiwa nje ya ofisi ...
Japo maongezi yetu yalikuwa ya kikazi zaidi lakini kafunguka zaidi kwa mambo yake binafsi...
Uwezekano wa kumuhudumia leo ulikuwepo lakini nimejenga mazingira ya kumhudumia kesho; then after x-mass ndo niendelee naye.
Hivi inabidi utumie mda gani kumwamini mtu?