Hivi inabidi utumie mda gani kumwamini mtu?

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,043
2,000
Kuna m2 kaja hapa job; lakini kajenga mazingira ya kuniamini sana hadi nakuwa na wasiwasi.

Ni mara yangu ya kwanza kuonana naye;

Namba yangu ya cm kapewa na rafiki yake ambaye nafahamiana naye kitambo;

Alipoipata tu kapiga sm na kuniuliza nilipo; haikuchukua zaidi ya lisaa limoja - akapiga sm akiwa nje ya ofisi ...

Japo maongezi yetu yalikuwa ya kikazi zaidi lakini kafunguka zaidi kwa mambo yake binafsi...

Uwezekano wa kumuhudumia leo ulikuwepo lakini nimejenga mazingira ya kumhudumia kesho; then after x-mass ndo niendelee naye.

Hivi inabidi utumie mda gani kumwamini mtu?
 
Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
10,094

  • Ukiunganisha dots - Ni kwamba huyu jamaa amekujua kupitia kwa rafiki yake na bila shaka Huyo rafiki yake amechangia kwa kiasi kikubwa kwa yeye kukuamini sana japo mmekutana kwa saa moja
  • Swala la kufunguka zaidi kwa mambo yake binafsi, hiyo ni hulka ya baadhi ya watu, husema chochote mahala popote na kwa mtu yeyote kama ilivyotokea kwako.
  • Fanya naye kazi [iliyomleta] ila endelea kuchukua tahadhali na kuwa makini naye
 
SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,246
2,000
Kuna m2 kaja hapa job; lakini kajenga mazingira ya kuniamini sana hadi nakuwa na wasiwasi.

Ni mara yangu ya kwanza kuonana naye;

Namba yangu ya cm kapewa na rafiki yake ambaye nafahamiana naye kitambo;

Alipoipata tu kapiga sm na kuniuliza nilipo; haikuchukua zaidi ya lisaa limoja - akapiga sm akiwa nje ya ofisi ...

Japo maongezi yetu yalikuwa ya kikazi zaidi lakini kafunguka zaidi kwa mambo yake binafsi...

Uwezekano wa kumuhudumia leo ulikuwepo lakini nimejenga mazingira ya kumhudumia kesho; then after x-mass ndo niendelee naye.

Hivi inabidi utumie mda gani kumwamini mtu?
Hilo swali lako la mwisho kwenye red unjiuliza wewe au unalizia tabia ya huyo mgeni? Baadhi ya watu wapatwapo
na shida fulani hufanya ujanja wa kumzoea mtu haraka ili asaidiwe. Yawezekana huyu jamaa ama ana dili kubwa la hapo kazini anataka mlifanye au ni ulaghai wa kawaida wa kukukopa hela nk.
 
JICHO TAI

JF-Expert Member
May 27, 2013
1,106
2,000
it has been said with many people that the ones you trust most are the ones discourage you most!
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,997
2,000
Very true...na mtu kama huyu hata miezi miwili/mitatu unaweza kumuamini, wengine inaweza kuchukua hata miezi sita au zaidi. Mie ikifika miezi sita sijamuamini mtu basi sitamuamini tena.

haina formular, watu wengine ukiwaangalia tu na kuzungumza nae mawili matatu unaona chembe chembe za uaminifu.
 
miss strong

JF-Expert Member
Jul 4, 2012
7,014
2,000
Inategemeana na mtu............kuna baadhi ya watu wanasomeka kiurahisi yaani ni barua iliyo wazi haijakaa kwenye bahasha
 
Candy kisses

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
294
250
Very true...na mtu kama huyu hata miezi miwili/mitatu unaweza kumuamini, wengine inaweza kuchukua hata miezi sita au zaidi. Mie ikifika miezi sita sijamuamini mtu basi sitamuamini tena.

Mkuu hua unahesabu???
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom