Hivi ilishawahi kukutokea mtu anakupigia simu anakuukiza wewe nani eti amekuta mis call kwenye simu yake?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,685
26,779
Sijui niseme ni kampuni kuchoka au ni makusudi wanafanya maana unakuta mtu anakupigia hata humjui na anakuambia eti amekuta ulimbipu wakati huo wewe hata simu hujaigusa.

Hii hali imenitokea zaidi ya mara 4 kwa wiki kila nikijaribu kumwambia mhusika sinafanya hivyo inaishia kulumbana .

Hii kampuni ya tigo tanzania kwangu ndio hali hii inanitokea mara kwa mara je!inasababishwa na nini.
 
Tigo tatzo Hilo lipo kweli mimi juzi na Jana hii wiki looh had kichefuchefu
 
Sijui niseme ni kampuni kuchoka au ni makusudi wanafanya maana unakuta mtu anakupigia hata humjui na anakuambia eti amekuta ulimbipu wakati huo wewe hata simu hujaigusa.

Hii hali imenitokea zaidi ya mara 4 kwa wiki kila nikijaribu kumwambia mhusika sinafanya hivyo inaishia kulumbana .

Hii kampuni ya tigo tanzania kwangu ndio hali hii inanitokea mara kwa mara je!inasababishwa na nini.
Imenitokea mara nyingi sana na huwa najibu kuwa sijawahi kukupigia
 
Sijui niseme ni kampuni kuchoka au ni makusudi wanafanya maana unakuta mtu anakupigia hata humjui na anakuambia eti amekuta ulimbipu wakati huo wewe hata simu hujaigusa.

Hii hali imenitokea zaidi ya mara 4 kwa wiki kila nikijaribu kumwambia mhusika sinafanya hivyo inaishia kulumbana .

Hii kampuni ya tigo tanzania kwangu ndio hali hii inanitokea mara kwa mara je!inasababishwa na nini.
bora hata wew mim nlikuwa na mtu kwenye gar ambaye tunafahamiana simu yangu ipo mfkoni yake anachezea akawa ananambia mbona nampigia mie nkajua utani kucheki sinu yake ni kweli inaita kwa namba na jina langu

wakati huo simu yangu wala sikuwa nimeigusa na hata nilivyoitoa haikuonyesha kuwa inapigia simu nyingine
 
Sijui niseme ni kampuni kuchoka au ni makusudi wanafanya maana unakuta mtu anakupigia hata humjui na anakuambia eti amekuta ulimbipu wakati huo wewe hata simu hujaigusa.

Hii hali imenitokea zaidi ya mara 4 kwa wiki kila nikijaribu kumwambia mhusika sinafanya hivyo inaishia kulumbana .

Hii kampuni ya tigo tanzania kwangu ndio hali hii inanitokea mara kwa mara je!inasababishwa na nini.
Imenitokea mara nyingi tuu,na mtu akishaniambia hivyo huwa nakata simu akiendelea kupiga piga anakula block... sijui inakuwaje jamanii,
 
Sijui niseme ni kampuni kuchoka au ni makusudi wanafanya maana unakuta mtu anakupigia hata humjui na anakuambia eti amekuta ulimbipu wakati huo wewe hata simu hujaigusa.

Hii hali imenitokea zaidi ya mara 4 kwa wiki kila nikijaribu kumwambia mhusika sinafanya hivyo inaishia kulumbana .

Hii kampuni ya tigo tanzania kwangu ndio hali hii inanitokea mara kwa mara je!inasababishwa na nini.
Mkuu hilo la kwanza, la pili ni kwamba, yaweza kuwa 'mbaya wako' anakutress ili kujiridhisha na mambo flani flani yanayokuhusu anayoyafuatilia kwako.
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom