Hivi ilikuwaje wafanyabiashara kupandisha bei ya mafuta kinyemela bila kutangaziwa bei elekezi na UWURA

Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
13,405
19,060
Mara ya mwisho bei za mafuta zilipanda tu bila kuwepo kwa bei elekezi, mwenye taarifa kama utaratibu umebadilika tunaomba atujuze, tafadhali...
 
EWURA makucha yao ni butu sana kwa wenye vituo vya mafuta,kuna kipindi nakumbuka walianza msako wa kukagua pump za mafuta,sijui hata ile nguvu yao ya soda imeishia wapi,ni zaidi ya miaka 3 sasa imepita ,na matokeo yake jamaa wenye vituo vya mafuta wanacheza tu michezo wanavyotaka...
 
Tena katikati ya mwezi wakati utaratibu walioweka Ewura ni jumatano ya Kwanza ya mwezi. Hivi sasa kuna vituo vinadai havina mafuta, janja tu wanasubiri bei mpya kesho.
Duh kwahiyo kesho itatoka bei mpya tena minikajua ndo imetoka iyo tukutane september..naona taratibu tunarudi kwene bei zetu zile zile
 
Back
Top Bottom