Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 19,526
- 37,942
Pole sana mkuu hapo umesahau kazi za salivary amy lase ambayo hugeuza starch na kuivunja vunja umesahau kazi ya saliva kulaininsha chakula ili kipite kwa mfumo wa rhythimic constriction acrross an oespphagus via abdomen up to anus ... Hutaki kusikia habari za hcl kustop action ya sa salivary amylase na kuinitiate breaking of protein molecule na lipid by gastric juices pind tu chakula kinapofika tumbon .... Nakuonea huruma mkuu ... Ungejua kwamba unapokula chakula .... Au kabla ya. ... Gastic juices znakua zsha be secreted sababu yenyewe ni unconditioned reflexes as proved by pavlov ... Hata fasting juices ..... Aaah
Mkuu sory ila rudi shule mkuu
eti mimi nachekesha
Mkuu sory ila rudi shule mkuu
eti mimi nachekesha