Dejavu
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,568
- 3,424
Nahisi nikiwa makini naweza kuvumbua kitu kikubwa sana sababu ubongo wangu unafanya kazi kwa kina mno. Kuna wazo limenijia kwa nguvu sana kwamba kwa vile utumbo unaopeleka chakula unaanzia mdomoni hadi kule chini matakoni ndio sababu tukila chakula kinameng'enywa na kinaishia kuwa mavi hatimae, vipi kama nikienda hospital nikafanyiwa oparesheni ule utumbo waugeuze niwe nakula mavi afu natoa chakula kule matakoni maana utumbo utakuwa umegeuzwa ule wa matakoni umeletwa mdomoni Hivyo nikila mavi yanapitia utumbo wa mkundun ulioshonelewa kuanzia mdomoni na mmeng'enyo wa kurudishwa kuwa chakula na matunda na sio mavi tena? Nadhani nimeeeleweka wakuu.
Kuna Daktari mmoja wa India anaweza kunisaidia kunifanyia oparesheni, nataka niibadilishe Dunia iwe sustainable kwa kizazi kijacho yaani nimfute kabisa huyu bwana anajiita deni la Dunia au mashuhuri kama Tumbo tuwe tunakula mavi tu afu tunatoa vyakula na matunda kule matakoni.
Nitakuwa maarufu sana Duniani asee. nikifanikiwa ila sijui Watanzania wenzangu mnalionaje hili wazo langu?
Nyie ngojeni najua mtaniona chizi ila hivi ndio ideas zilizobadili Dunia zilianza kwa kudharauliwa.
Zingatia; Matusi na dharau sitaki...ukinitukana Mimi sikurudishii hapa nakutukana huku huku nilipo kimoyo moyo. Ah ah ah ah ah
Sent using Jamii Forums mobile app