Hivi ili uwe maarufu ni lazima umzushie mtu kitu?

chief m

Member
May 28, 2011
47
3
Salaam, nimefuatilia mwenendo wa siasa za sasa za africa na tanzania zinalenga zaidi watu kulipuana badala ya kujadili hoja kama ilivyo kuwa kwa wapigania uhuru walikuwa na agenda badala ya watu ama majina. Mnasemaje wadau
 
Agenda yetu kuu ni kuondoa UMASIKINI.
Kuna ubaya gani kuwajadili MAFISADI na Magamba ambao wanachangia kuongeza huo UMASIKINI na kusababisha hali zetu kuwa mbaya?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom