Hivi ile ripoti ya kifo cha Faru John ilishatoka?

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
Nilichogundua Tanzania, mtanzania ni mnyama na mnyama ni binadamu nikimaanisha thamani ya mtu Tanzania hakuna ila thamani ya mnyama ni kubwa sana tofauti na wenzetu walioendelea mtu mmoja akifa kwenye mazingira kama yale utaona thamani yake ambayo Tanzania ni thamani ya faru.

Nimeona habari kwenye gazeti kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii ameunda kamati ya kuchunguza kifo cha Faru Kileo, hivi ile ripoti ya kifo cha Faru John Ilishatoka? Na je kamati ya kuchunguza kifo cha Akwilina ilishaundwa? Nauliza tu!

mr mkiki.
 
Ilishatoka zaamani. Faru alibainika kufa kifo cha asili baada ya mazingira kuwa magumu kwake na alizikwa. Viongozi na wataalam walisema
 
Viongozi wa ccm hasa wa kizazi hiki akili zao zmebak kisoda.

Akili walizobaki nazo ni za kuvukia barabara.
Ukiona serikali yeyote haijali maisha ya wananchi wake wanapouliwa au kuuwawa na wakati wote kutishatisha wananchi wake na kuthamini zaidi uhai wa wanyama (hayawani) ujue ni mwanzo wa mwisho wake. Aluta Continua
 
Mwsho wake bado bado maana watanzania wengi nao bado hawajielewi jielewi
 
Acha uchokozi
Siku watanzania wakitambua haki zao za msingi na wakakataa kuchezewa akili na hii mijambaz ya ccm tena ndani ya utawala huu. Nakuapia Magufuli lazima apelekwe kwenye safe house maana watu watamlipua bila huruma.
 
Nilichogundua Tanzania, mtanzania ni mnyama na mnyama ni binadamu nikimaanisha thamani ya mtu Tanzania hakuna ila thamani ya mnyama ni kubwa sana tofauti na wenzetu walioendelea mtu mmoja akifa kwenye mazingira kama yale utaona thamani yake ambayo Tanzania ni thamani ya faru.

Nimeona habari kwenye gazeti kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii ameunda kamati ya kuchunguza kifo cha Faru Kileo, hivi ile ripoti ya kifo cha Faru John Ilishatoka? Na je kamati ya kuchunguza kifo cha Akwilina ilishaundwa? Nauliza tu!

mr mkiki.
Trump was right! Miafrika ni sawa kuitwa hivyo! Majaliwa aliwaka tukadhani ndani ya wiki dunia itatelemka, kumbe......... (nisije kufungiwa)
 
Back
Top Bottom