Hivi ile mitambo ya Hospitali ya Muhimbili ya kujifukiza bado ipo?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,635
218,068
Hivi karibuni Natarajia kwenda kujifukiza ili kujikinga na kirusi kipya kutoka S.Africa , ambacho taarifa zinaonyesha kwamba hakiogopi hizi chanjo tulizodungwa, Natambua kwamba Mkurugenzi wa Hospitali ya Muhimbili alitumia fedha za umma kujenga mitambo ya kimataifa ya kujifukiza.

Napenda kufahamu kama bado huduma hii muhimu ingalipo.

Natanguliza shukrani.
 
Nenda kaulize huko kwani sisi ndo hiyo Muhimbili?
 
FB_IMG_1637523751112.jpg
 
Mkuu siku hizi unapoteza umakini kwenye hoja zakoni ujikite kutuletea habari za chadema digital huko njombe!
 
Itakua jumba la makumbusho huko chattle. Ila yule mzee alituingiza chaka sana asee!
Nikikumbuka professa kabudi na zile Novida kutoka Madagascar naishia kucheka sana
afadhari hata zingekua Novida mkuu,Ile ilikua juice ya pilipili pori maana huko Republique de Madagascara Kwa wamalagasy zipo nyingi Sana hizo tunda pori hivyo yule DJ Andy Rajoelina aliwaingiza Chaka mtu pori Jiwe na professor majalala
Wakachezeshwa disco la kuvunja na shoka pale Antananarivo town!
😁😁😁😁
 
Daaah! Noma sana mkuu.
 
Back
Top Bottom