Hivi ilani ya CCM huwa inaandikwa na nani!?

Aaron

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,019
4,693
Nimejiuliza bado sijapata jibu...kama ikaa kamati kuu na kuweka mipango ya miaka mitano na kuandaa ilani inakuwaje anatokea kiongozi na kuipinga na wana ccm wenyewe kumshangilia...

Lilianza swala la mabinti wanaopata mimba kutoruhusiwa kuendelea na masomo wana ccm wakashangilia na kumpongeza mwenyekiti wakati ilani inasema lazima wahakikishe mabinti hawa wanapata nafasi ya masomo!! Hapa nilijiuliza hivi tunapambana na ujinga au mimba!!??

Sasa limekuja swala la katiba mpya nimemsikia mwana ccm mmoja ambaye bado anatetea umuhimu wa katiba mpya JAJI WARIOBA tu. Naye asemi moja kwa moja!!! Wengine wote wamepigwa ganzi wakati ilani inasema wazi juu ya katiba mpya!!???

Hivi siku akija na makubwa zaidi ya haya tutaweza kumpinga kweli!???
FB_IMG_1541245953106.jpeg
 
Nimejiuliza bado sijapata jibu...kama ikaa kamati kuu na kuweka mipango ya miaka mitano na kuandaa ilani inakuwaje anatokea kiongozi na kuipinga na wana ccm wenyewe kumshangilia...

Lilianza swala la mabinti wanaopata mimba kutoruhusiwa kuendelea na masomo wana ccm wakashangilia na kumpongeza mwenyekiti wakati ilani inasema lazima wahakikishe mabinti hawa wanapata nafasi ya masomo!! Hapa nilijiuliza hivi tunapambana na ujinga au mimba!!??

Sasa limekuja swala la katiba mpya nimemsikia mwana ccm mmoja ambaye bado anatetea umuhimu wa katiba mpya JAJI WARIOBA tu. Naye asemi moja kwa moja!!! Wengine wote wamepigwa ganzi wakati ilani inasema wazi juu ya katiba mpya!!???

Hivi siku akija na makubwa zaidi ya haya tutaweza kumpinga kweli!???View attachment 920111
Wasirra
 
Inaandikwa na watu wasioipenda nchi ndiyo maana akipatikana mtu anayeipenda nchi hawezi kuifata.
 
Kwa hiyo ilani ya sasa ya ccm ni rubbish!?

Na hawa viongozi wanaowambia watumishi wa umma kutekeleza ilani ya ccm je wanatakiwa kutekeleza ilani IPI!!? Hii ya kuendeleza mchakato wa katiba mpya au kuna nyingine!??
 
Nimejiuliza bado sijapata jibu...kama ikaa kamati kuu na kuweka mipango ya miaka mitano na kuandaa ilani inakuwaje anatokea kiongozi na kuipinga na wana ccm wenyewe kumshangilia...

Lilianza swala la mabinti wanaopata mimba kutoruhusiwa kuendelea na masomo wana ccm wakashangilia na kumpongeza mwenyekiti wakati ilani inasema lazima wahakikishe mabinti hawa wanapata nafasi ya masomo!! Hapa nilijiuliza hivi tunapambana na ujinga au mimba!!??

Sasa limekuja swala la katiba mpya nimemsikia mwana ccm mmoja ambaye bado anatetea umuhimu wa katiba mpya JAJI WARIOBA tu. Naye asemi moja kwa moja!!! Wengine wote wamepigwa ganzi wakati ilani inasema wazi juu ya katiba mpya!!???

Hivi siku akija na makubwa zaidi ya haya tutaweza kumpinga kweli!???View attachment 920111

Na aliyerithi Cheo cha Profesa Mark Mwandosya kama Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo Kikuu kimoja chenye jina la aliyewahi kuwa Rais wa Tanzania maeneo ya Kigamboni. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Back
Top Bottom