Hivi ikitokea Rais wa sasa akapigwa chini kwenye uchaguzi wa 2020, hatma ya hii miradi itakuwaje?

Hizo ndiyo ndoto za kijinga na kibwegebwege za Mbowe ambaye aliwahi kusema Magufili ni 'one term president' kwa hiyo na nyie machadema mnafuatia humohumo.Halitokei na halitatokea.Ndoto za kuja kuvuruga mradi wowote ni za alinacha yaani watanzania watakuwa wanawatazama tu wakati mnavuruga ?Acheni mawazo ya kufikirika.
 
Nadhani ungelisema hivi; Ikitokea aliyeko akaondoka kwa njia yeyote ile, Je atakayemrithi ataendeleza miradi pendwa? Jibu ni; Sio lazima kwani ajaye naye ana maono yake.
Mbona yeye hakuendeleza Kinyerezi 2&3?? Mbona yeye hakuendeleza bandari ya Bwagazemoyo?? Sio lazima kwani hata katiba mpya hakumalizia
 
Hivi ikitokea uchaguzi wa 2020 rais tuliyenaye akapigwa chini, nini itakuwa hatma ya hii miradi ya SGR and the like. Au kuna sheria inayomlazimisha successor wake aiendeleze? Najaribu kuwaza kwa sauti.

Bwana Ben Maembe ataiendeleza kwa ari mpya na kasi mpya
 
Watu badala ya kujibu hoja, mnaanza kusema Magufuli hawezi toka madarakani 2020
 
Hivi ikitokea uchaguzi wa 2020 rais tuliyenaye akapigwa chini, nini itakuwa hatma ya hii miradi ya SGR and the like. Au kuna sheria inayomlazimisha successor wake aiendeleze? Najaribu kuwaza kwa sauti.
Itakuwa kama mradi wa gesi ya mtwara na Bandari ya bagamoyo labda. Ila kamwe haitokei mchezo uishe dk 45.
 
Back
Top Bottom