Hivi ikitokea jambo hili..... ni lazima mapenzi yavunjwe?

Wasi wasi wangu wewe ndio hujielewi kuwa muhuni. Hivi unataka kuniambia kuwa uliandikiwa kwenye karatasi haya uliyoyaandika hapa?

Ile kuileta tu hapa maana yake wewe unaona ni debatable. Sasa mimi sizungumzii leo tu, mimi ninajumuisha na yale ya binti kutembea na baba yake. Na hii ni dhahiri umebadili kujisema si wewe baada ya kukubaini, lkn haya ni yako

Duh! Mkubwa lazima huyu somo limuingie.

Na hili liwe onyo kwa wale wote wenye kushabikia uchimvi na ufirauni
 
Hapo kwenye bold ndio tofauti ya mimi na wewe. Ndio maana nikakwambia una elements zote za matendo hayo. Ile kufikiria tu kuwa jambo hilo linasameheka ni dalili kuwa unaliona dogo. Leo umekuja na hili la mama yako na dada yako ambalo nalo (4 the way you put it) unaliona ni dogo tu la kawaida halafu unataka niamini eti ni jirani yako unamsemea.

Kunishangaa kwa nini nimeumia binti kutembea na baba yake ni sawa kwa kuwa kwenu ustaarabu huo hauna shida na ndio maana upo hapa ukiomba sapoti ya wananchi wamshangae mama mkwe wako kwa kuchukia baada ya mama yako na dada yako kubanjuliwa na mtoto wake.

Kweli hii dunia ina mambo. Najua hapa maoni yako ni MAMA MKWE MBAYA. Lkn kwa sisi watu wa bara, matusi makubwa sana haya, tena yawezayo kuleta laana kwenye familia. Kweli mama na binti yake washee mchi halafu ......mweh!

Hakuna cha behalf hapo, unazuga tu.

Nimekuelewa............! huyu mleta thread anatafuta ttu support..........ile kuiweka hapa jamvini ni kama anakubaliana na ufirauni huu
 
jitahidi msihachane na huyo mjamaa na mabo ya familia yasiingilie uhusianio wenu be strong dear na upande wa huyo mpenzi wako anauchukuliaje uamuzi huo? '' malezi ni ya wazazi wawili kwa mtoto"
 
Avumilie tu, ukoo wenu si ndio ulivyo. Ndio maana hata juzi kati ulikuwa unasapoti yule binti anayembea na baba yake asamehewe, na nikatoa angalizo kuwa hata na wewe una elements hizo sasa leo umejileta mwenyewe.

Haya mambo ya kuanduana hovyo kama mbuzi hayajifichi yakiwapo kwenye ukoo, hata kwa maongezi yenu tu wenye ufahamu wa vijitu corrupt tunawatambua.

Cha kufanya na wewe tembea na baba yake, halafu mwambie mama mkwe wako atembee na baba yako, kisha wewe utembee na mjombaake hawara yako

Kudaaadadeki! Kweli umetoka pabaya!
 
Duh! Mkubwa lazima huyu somo limuingie.

Na hili liwe onyo kwa wale wote wenye kushabikia uchimvi na ufirauni

Huyu muanzisha mada anafikiri watu wote ni washabiki wa mahusiano machafu. Hana haya pia. Mimi nafikiri angetuomba ushauri agombane vipi na mamaake na dadaake na sio kutuuliza uhalali wa mahusiano machafu.

Familia zingine hizi jamani tuangaliage, ukijikuta umeoa humo umekwisha. Ndio haya ya kusema anayetembea na baba yake mzazi asamehewe tu atajirekebisha. Subuh-an-allah!
 
Kuachana ni ujinga .... Kama wamefanya upuuzi wao nyie haiwahusu, watajijua wenyewe ........
 
ni kama naye yupo njia panda na anahofu na mama ake make kaambiwa akiendelea na hiyo relation asahau kama huyo ndo mama ake

aah so u mean, mama atamdisown mwanae. kwa kosa lipi alilofanya kijana? kwanini dhambi ya watu wengine, watwishwe mzigo watu wengine. hata kama ni laana, Mungu hawezi kuruhusu juu ya mtu ambaye hakukosa.
hata kama anamdisown, literally hawezi acha kuwa mama yake, iko siku mambo yatakuwa kwenye mstari. kijana akikuacha wewe akaoa mtu mwingine, ndio basi na kama ninyi ni Wakristo ndio usahau!

...think about it
 
Hii ni habari ya kweli....ninaongea on behalf ili kuiweka clear na ieleweke.
" nimekuwa katika uhusiano na kijana mmoja kwa muda wa miaka 6 na sasa tuna mtoto ana miezi 6,wazazi wetu walikuwa marafiki kidole na pete,hivi karibuni imetokea ishu ambayo mama wa baba mtoto ameamua uhusiano wetu ufe hata ndugu wengine pia wanasupport huu uamuzi na hii ni kwa sababu inasemekana dada yangu pamoja na mama yangu wametembea na kaka wa baba mtoto wangu,....mi nampenda sana baba mtoto na sitaman tuachane.

Laiti ingekuwa ndowa! Lakini haya ya kuchukuwana tu mnaweza kuachana tu!
 
Hapo inabidi na wewe ukae chonjo maana I can't imagine hiyo familia ni familia ya aina gani? Kama mama na mtoto wanachangia mwanaume what will stop them from snatching your husband (if he will be)?
 
Back
Top Bottom