Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 63,555
- 112,502
...............
familia yenu ina pepo wangono kwa msaada zaidi tafuta kanisa mkaombewe au kama ni waislam mtafute sheikh kabla hatujawatafuta na kuitimiza sharia.
hata kusoma hujui?
Haya mambo ya INASEMEKANA mie huwa siyapi uzito! Hata kama ni kweli walikuwa na mahusiano inauhusiano gani na mapenzi yenu kuvunjika?Kama mume hana tatizo na anakupenda achana nao, endelea na maisha yako
Fanya uamuzi mgumu, mshikilie wako na wala usimuachie
Hayo yanawahusu nini wewe na mwenzako?
Kosa la mama yako na dada yako litumike kukuhukumu wewe?
Kosa la kaka wa bwana ako litumike kumuhukumu bwana ako? endelezeni penzi lenu
Ichukue hii Evelyn.Hayo yanawahusu nini wewe na mwenzako?
Kosa la mama yako na dada yako litumike kukuhukumu wewe?
Kosa la kaka wa bwana ako litumike kumuhukumu bwana ako? endelezeni penzi lenu
Ngumu kumeza hapa..yaani dada na mama wa gf wangu watembee na baba mdogo wangu!!!..halaf bado mnaniambia niendelee na gf wangu?..hamwezi kuwa hamjalewa aiseee!!
Avumilie tu, ukoo wenu si ndio ulivyo. Ndio maana hata juzi kati ulikuwa unasapoti yule binti anayembea na baba yake asamehewe, na nikatoa angalizo kuwa hata na wewe una elements hizo sasa leo umejileta mwenyewe.
Haya mambo ya kuanduana hovyo kama mbuzi hayajifichi yakiwapo kwenye ukoo, hata kwa maongezi yenu tu wenye ufahamu wa vijitu corrupt tunawatambua.
Cha kufanya na wewe tembea na baba yake, halafu mwambie mama mkwe wako atembee na baba yako, kisha wewe utembee na mjombaake hawara yako