TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,667
- 1,566
Bwana Bodi heri ya sikukuu ya pasaka, natumai mmekuwa na mapumziko mema ingawa kwa sisi wasaka tonge muda huu tayari tupo kazini tunapambana na hali hii nzuri inayoletwa na uchumi Wa viwanda.
Kwenye kaa yangu hapa kibdandani kwangu, nikawaza wazo hilo linalosomeka kwenye kichwa cha habari kwamba iwapo sisi wananchi tumepiga kura, na kwa wingi tumeamua kumkataa kwa kumpigia kura mtu mwingine tofauti na yeye, na kwa Msingi huo atakuwa ameshindwa uchaguzi. Sasa yupo kweli Wa kumwambia kuwa Mzee umeshindwa uchaguzi hivyo unatakiwa umpishe aliyeshinda aingie madarakani!?
Wazo langu hili limekuja baada ya kuona jinsi watendaji Wa serikali wanavyomuogopa, wataalam wanaamua kuweka utaalam wao pembeni na kufuata amri, maprofesa wanakuwa kama watoto Wa darasa La pili. Wachamungu wameamua kuwa waongo Wa wazi wazi. Sasa nani atathubutu kufungua mdomo!?
Inawezekana wazo langu likawa na kizamani ila naomba nikosolewe kwa staha