Hivi IGP Sirro kwa kauli hii ya Mbowe, Rais Samia, CCM na yote yanayotokea bado haujishtukii tu?

Wewe ndio hufikiri,Mbowe ni nani?
Uliwahi sikia wapi mtuhumiwa wa ugaidi mwenye ushahidi wakutosha anaakikwa Ikulu.
Uliwahi sikia wapi Duniani mtuhumiwa wa ugaidi anawavuta mabalozi kusikiliza kesi za ugaidi.
MBOWE ni sehemu ya Umma wenye sauti ndani na nje ya Nchi.
Mtu kama huyo ukiona alichoandika tu unajua ni mlevi wa Uongo wa kujitakia.Mpuuzi huyo.Achana naye.
 
So tatizo la polisi limeanza na Siro. Huyu kiongozi alikuwa mtu fighter sana wa maovu mipakani. Leo mnakunyaaaa kwa Amani sababu Yake na wengine. Wema wapo na wabaya wapo. Hata wewe una mabaya yako. Mema yao yanazidi mabaya na ndo mana tunaishi.
Tatizo nyota ya Afande Siro imeshafifia,hata akisema nini Kama Kamanda lakini masikini Askari wake huko chini hata hawamsimkilizi Boss wao,wanajifanyia wanavyotaka kwa Raia wasiokua na silahaa Kama wao!!
 
sasa hivi ziro yupo less less anapeleka dili zake za mwisho mwisho fasta fasta sana, pia anahakikisha ana wa position watu wake maeneo ya uhakika kabla hajatoka
Basi Kama Siro ana Power hiyo,bora tumfanye yeye ndiyo awe Rais na Amiri Jeshi Mkuu kama Taasisi ya Urais inamuogopa!!
 
Rais hata aseme asipochukua hatua ya kumuondoa ni upuuzi tu.

Mbona jpm akisaidiwa na samia walimuondoa IGP Mangu?

Samia anashindwa nini kumuondoa sirro na kufuta utumishi wa RPCs wa hovyo kama kingai?
Anamwogopa
 
Back
Top Bottom