SnowBall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,054
- 2,840
Wanabodi mambo zenu!
Labda nianze hivi KILA mtu anatamani DUNIA iwe mahali pa salama na watu tufurahie maisha kwa kila nukta ipitayo. Na kama sikosei kila mmoja wetu anatamani MAISHA yake ya MAPENZI/MAHUSIANO yamnyokee yaani pasiwepo na ULAGHAI au UDANGANYIFU...Lakini ukitazama sana kwa trend ya nyuzi nyingi zinazotupiwa hapa MMU inaonyesha dhahiri shahiri MAPENZI hayako salama..na UONGO kama sio UDANGANYIFU umetamalaki sana. Nachelea kutoa LAWAMA kijinsia kwa kusema kundi flani ndio TATIZO....But i guess there is a big problem behind the scene even more than what we could think!!
Tatizo ninaloliona ni kuwa BINADAMU huenda tumetofautiana sana katika nini tunahitaji kwenye MAHUSIANO..Ni kweli pia inawezekana hatujipi MUDA wa KUTAFAKARI kile tunachohitaji au pengine hatupati WATU wanaoendana na MAHITAJI yetu..Na kama tunaamini kuwa kila kila mmoja wetu anastahili kuenjoy MAPENZI ya DHATI sasa kwa nini tunatesana ladies and gentlemen??..Kwa nini UMKWAZE umpendaye??.Swali langu kwa wake kwa waume ni hili: ''HIVI HUYU ULIYENAYE UNADHANI NDIYE U/LI/NASTAHILI KUWA NAYE''?...Kama jibu lako litakuwa YES!..Huyu ndiye HASWAAAAA NILIYEMTAKA...Basi hebu tujiulize hivi vijiswali?
1.Mbona hukomi kuwa unamchunguzachunguza?( of course ni dalili ya kutomuamini)
2.Mbona unahisi kama hazijali hisia zako? (of course ni dalili ya kutojiamini)
3.Mbona humuamini kama zamani? (dalili ya kuchokana)
4.Na Je wanaolalamika hapa MMU ni akina nani kama sio mimi na wewe?
TAFAKARI CHUKUA HATUA...Nimemaliza!!