Hivi huyu tapeli nae ameshinda?

zaklove

Member
Nov 1, 2010
31
1
Hivi watu wa Kilwa mna mategemeo gani kumchagua murtaza mangungu?
tapeli alieshindikana kwa kufanya mikorogo ya aina yote,kuanzia visa feki???????
 
Lwaitama: CCM IMEBADILIKA, SI ILE YA MWAL NYERERE, ILE ILIKUA YA WAFANYAKAZI NA WAKULIMA, HII NI YA WAFANYABIASHARA, WOTE WANAOITAKIA MEMA CCM, WAIPUMZISHE ILI IJIJENGE UPYA''

sitaki kuwalaumu watanzania, siamini kama waTZ waliichagua ccm, kilichafanyika ridhiwani kinana and co knows
 
tumeshachoka kuona mafisadi na matapeli wanapewa nafasi serikalini, na baadhi ya watu kupeana vyeo kwa undugu na urafiki na watoto wao kunyanyasa raia wema kutumia vyeo vya baba zao,huyu murtaza katapeliwatu wengi sana hela zao kuwa anawatafutia visa za kwenda europe ameshapelekwa sana polisi leo hii ni mbunge wa ccm ataweza kweli kutete a haki za wananchi
 
Inawezekana hata huo ubunge katumia pesa za wananchi alizowatapeli kipindi cha nyuma kuchukua jimbo. Bt wor out God knows
 
Sijawaji kumuona hata siku moja akikosoa jambo lolote bungeni. Yeye kazi yake ni kusifia tu. Pengine hii ndiyo staili yake,lakini kwakweli inaboa!
 
Back
Top Bottom