Lwaitama: CCM IMEBADILIKA, SI ILE YA MWAL NYERERE, ILE ILIKUA YA WAFANYAKAZI NA WAKULIMA, HII NI YA WAFANYABIASHARA, WOTE WANAOITAKIA MEMA CCM, WAIPUMZISHE ILI IJIJENGE UPYA''
sitaki kuwalaumu watanzania, siamini kama waTZ waliichagua ccm, kilichafanyika ridhiwani kinana and co knows
tumeshachoka kuona mafisadi na matapeli wanapewa nafasi serikalini, na baadhi ya watu kupeana vyeo kwa undugu na urafiki na watoto wao kunyanyasa raia wema kutumia vyeo vya baba zao,huyu murtaza katapeliwatu wengi sana hela zao kuwa anawatafutia visa za kwenda europe ameshapelekwa sana polisi leo hii ni mbunge wa ccm ataweza kweli kutete a haki za wananchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.