Bujoro
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,046
- 2,131
Kama jins kichwa cha mada kina jieleza. Mi napata shida sana na uwezo wa kufikiri kwa huyu Kiongozi wetu mkuu wa soka nchini anakosaje kushawishi watu au makampuni ya kudhamini ligi kuu maana vilabu vingi vina ukata wa pesa ambao umesababishwa na kukosekana kwa wasahimn wakuu ktk mpira wetu.
Kama ligi haiko vizuri au kukosa ushindani hata soka la nchi kiujumla itayumba rusitegemee kufika mbali au kufanya vizuri msingi wetu ni dhaifu kushindana na wenzetu wa nchi jirani.
Mi naona huyu rais na bodi yake haitufai kwa msitakabali wa soka nchini. Wanachojua ni kifingia fingia watu kutojihusisha na soka maisha yote jmn hata kama ni adhabu ndo umfungie mwenzio maisha kwann isiwe hata miaka 2 au 5 au ndo kukomoana tu karibini kwa michango yenu.