Hivi huyu ni binadamu au jini?

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,591
Eti wewe unaonaje?

BINADAMUAUJINI.jpg
 
Ndugu,

Inawezekana ikawa kama ulivyouliza ila kwanini umeuliza hivyo? Sifa za mtu zinajulikana na sifa za jini ni zipi?
Tuwekee sifa za jini alafu turudi kwa kujibu kama huyu ni mtu au jini!

Nimeuliza tu mkuu maana huo uzuri wake unanitia mashaka.
 
iasee huyo ni macho tu , uyo ni chaurembo na urembo ni macho - majini hayapo ivi
 
hii mutu ni mto ya kuotea mbali ni mzuri balaa yaani hana hata doa.. sijui huko chini kutakuwaje..
Mkuu usi-judge uzuri wa kitabu kwa kuangalia cover yake ya juu. Huko ndani unaweza kukuta hamnamo kabisaa.
 
Mbona wakawaida sana huyo binadamu. Nani alikuambia majini ndio mazuri sana? Mimi nimefundishwa kuwa Malaika ndiyo wazuri kuliko kitu kingine chochote na sio majini (mashetani), majini ni mabaya kwa sura na yanatisha sana na watoto wadogo na mbwa au mnyama yoyote akiyaona huwa wanalia.
 
In principle,napinga wanawake kujirembaremba,kwa sababu huu ni udanganyifu,wanawake wanataka kujiremba ili wote waonekane wazuri,which is not true,which will cause human stock to deteriorate. Msichana anatakiwa kucheza netball,na siyo kujirembaremba.
 
In principle,napinga wanawake kujirembaremba,kwa sababu huu ni udanganyifu,wanawake wanataka kujiremba ili wote waonekane wazuri,which is not true,which will cause human stock to deteriorate. Msichana anatakiwa kucheza netball,na siyo kujirembaremba.

DUh! Ngoja wanawake waje tusikie maoni yao kuhusu hili.
 
Kwa kutumia picha tu sio rahisi kujua.Ila inaelekea kuna tatizo fulani,kwa kuwa ni mzuri kupita kiasi halafu mavazi yake yanafanana na yale yanayotumiwa na majini.Labda ungetupa tabia zake ambazo sinashaka unazijua na ndio maana ukawa na wasiwasi, tungeweza kukushauri vizuri zaidi.Halafu ni vema ukatuambia uhusiano uliopo kati yako na yeye.
 
Si majini pekee, hata binadamu wapo wenye sura nzuri. Huyu ni mka mwana wa mfalme wa Saudia -- nakumbuka nilisoma mahali.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom