Hivi huyu Mwenyekiti wa Bodi ya Kahawa kwa nini anamkingia kifua Mkurugenzi wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi huyu Mwenyekiti wa Bodi ya Kahawa kwa nini anamkingia kifua Mkurugenzi wake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by matengo, Jun 7, 2011.

 1. m

  matengo Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumesoma katika Gazeti la Mwananchi la tarehe 6 Juni 2011 kwamba Mweyekiti wa Bodi ya Kahawa anamkingia kifua Mkurugenzi wake. Sisi wafanyabihashara wa kahawa tunashangaa sana kwani maelezo yake ya kwamba TCB inaendeshwa kwa sheria ya kahawa ya mwaka 2001 na kanuni zake za mwaka 2003 zinakinzana na ukweli on the ground. Kwa mfano maombi ya Leseni zilizobandikwa kwenye website ya Bodi hususani za kununua kahawa hatuzioni kwenye kanuni ya mwaka 2003. Hii inatufanya tuamini kwamba Waziri mwenye dhamana ya kutunga kanuni akishatunga kanuni Bodi inazchakachua na kutunga zake. Au tuseme na hii wanatumia rasimu kama wanavyotumia rasimu ya mfumo kundesha shughuli za Bodi.
  Ushauri wa bure kwa Mwenyekiti ni kwamba amchunguze Mkurugenzi wake tokea alipokuwa Alminium Africa, Mbinga Coffee Curing na Kilicafe ili ajue vizuri tabia yake kabla ya kumkingia kifua maana tunaona anamwingiza mkenge.
   
 2. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mkuu matengo ebu fafanua vizuri hapo maana na mimi ni mdau mkubwa kwenye kahawa.samahani sana mkuu nifahamishe usikute na mimi wananichakachua.
   
Loading...