Hivi huyu mwanaume anatumia akili au makamasi kufikiri?

Mwashangaaaa Nini!!!!!!!!!!!? Kazi kungaa sharubu tu!!!!!!!!! Toka lini Fahari wawili wakakaa zizi moja!!!!! Ofcourse huyo bwana ana makosa sana kucheat na huyo Hawara.

Ila hawara pia ana HAKI ZAKE ZA MSINGI TU hapo! We utumike 3 F. Years afu uachwe kizembe zembe hivi hvivi eti kisa mwenzio anarudi!!!!!! Bull shit!!!!!!

Vunja bibi wewe vunja hapo kila kitu!!!!!!!!! Usibakishe hata kikombe!!!!!! Wanaume wana masihara sana na maisha ya wanawake!!!!!!!! Yaani ujisikie tu UNIFURUMUSHE!!!!!! Kirahisi rahisi tu!!!!!!! Mmmmmmmh!

Angekuwa mtu mwepesi mwepsei huyo hawara angeondoka kimya kimya maskini ya Mungu, with her broken heart, akaenda kufia mbele ya safari kimya kimya huku hili Fisadi la Mapenzi Limepoziiiii!!!!!!!!! Halina stress kabisaaa linajinafasi na mkewe!!!!!!! Thubutuuuuuu yao!!!! Vunja hadi mlango hapo shostito!!!!!!!!!!!

haya wee, lakini sifa ya umalaya ni kweli huyo hawara alikuwa nayo, maana nimeshuhudia kila sampuli ya wanaume ikilala hapo nyumbani kwao kila mume awapo safarini tena kwa maconfidensi yote. nadhani kuna mdaku alimmegea mume siri hiyo a umalaya na alipotaka kuthibitisha kwangu na kwa mke wangu tukaruka kuepusha kuvunja uhusiano wa watu ambao hata hatujui walikutana vipi.
 
Ila kweli uswahilini kuna raha zake bwana, asikuambie mtu! Ati Paw tunatengana anaenda kuishi na mwanamke mahali, afu tunarudiana hapo kwa hiyo haooo. Na anaagiza huyo hawara aje alale for a night! Huyo mke wa ndoa ndo mbumbumbu, wala hawara hana cha kupoteza hapo. Muambie avunje kila kitu kulipia mileage alizopelekwa.
 
Kuhusu kumlaumu mwanaume, acha tu nimlaumu, hivi kweli mtu mmeachana naye kwa vurugu kubwa, halafu unamruhusu aje afikie kwako wakati ndani ya nyumba yupo mkeo wa ndoa na watoto, hapana hilo haliwezekani, huyu mwanaume ana dosari kubwa katika akili yake.

yaani ninachoshuhudia hapa ni vituko visivyo vya kawaida, lakini ukimya wa mke wa ndoa ndahani unasaidia maana nadhani dhamira ya hawara ni kutaka kulianzisha wachapane.

Tegelezeni... Hapo unajiuliza maswali ambayo siyo. Sijajua kuwa umelichukulia vipi.. BUT mimi naona kuwa a smart man HAWEZI mrudisha mkewe kwake mahala ambapo ameishi na mwanamke mwingine tena kwa miaka mitatu! Ingekuwa nyumba kajenga ni excusable... Wacha zile za kusema wanawake unaingiza tu kalalana nao (tena hii tabia mbovu ya kuleta kila one night stand nyumbani; kuwa mjanja nenda kwake uache tabia ya kujenga jina la danguro nyumbani kwako hasa ukiwa mtu wa makamo na sio kijana mdogo).

Huyo mwanume ni selfish na wala hajali... Kama kathubutu kumruhusu huyo hawara kuja kulala hapo kwa mkewe na watoto na yeye pasipo uwepo wake ana roho mbaya sana! But narudi kule kule kuwa wanawake hao ndio wamechangia, hivi mkewe angegoma huyo mwanamke asilale hapo akaita na police; huyo hawara angethubutu kumsogelea?

Huyo hawara angeenda kulalamika police kanyanyaswa na kukataliwa vyombo vyake akavichukua pale pale wakati anafukuzwa unadhani asingeweza kupata hivyo vyombo?

Wewe mke kama unajua mmeo anawasiliana na hawara yake (tena huyo ni mke kabisa katika macho ya watu) to the extent anamruhusu alale hapo kwenu unadhani kuna usalama? Bado tu umetulia baada ya ye kukutelekeza miaka yote ile na bado hajabadilika... Umetulia tu kama vile umezaliwa nae?
 
Mwashangaaaa Nini!!!!!!!!!!!? Kazi kungaa sharubu tu!!!!!!!!! Toka lini Fahari wawili wakakaa zizi moja!!!!! Ofcourse huyo bwana ana makosa sana kucheat na huyo Hawara.

Ila hawara pia ana HAKI ZAKE ZA MSINGI TU hapo! We utumike 3 F. Years afu uachwe kizembe zembe hivi hvivi eti kisa mwenzio anarudi!!!!!! Bull shit!!!!!!

Vunja bibi wewe vunja hapo kila kitu!!!!!!!!! Usibakishe hata kikombe!!!!!! Wanaume wana masihara sana na maisha ya wanawake!!!!!!!! Yaani ujisikie tu UNIFURUMUSHE!!!!!! Kirahisi rahisi tu!!!!!!! Mmmmmmmh!

Angekuwa mtu mwepesi mwepsei huyo hawara angeondoka kimya kimya maskini ya Mungu, with her broken heart, akaenda kufia mbele ya safari kimya kimya huku hili Fisadi la Mapenzi Limepoziiiii!!!!!!!!! Halina stress kabisaaa linajinafasi na mkewe!!!!!!! Thubutuuuuuu yao!!!! Vunja hadi mlango hapo shostito!!!!!!!!!!!
lara 1 nakuunga mkono kabisa ila ngoja nikwambie kitu kimoja hapa

mke wa ndoa alikosea sana kuachika na kurudisha majeshi. mm huwaga nasema mwiko kuondoka nitang'ang'ania hadi dk ya mwisho labda atoke yeye ila sasa nikifika mahali nimesalimu amri that will be for good ever. na hapo nitakuwa nimesha fanya hesabu ya nguvu yangu niloinvest na pia nishajua jins ya kuzirecover............MPALESTINA @work.

niliwah kuvumilia abusive life ila ambayo haikuwa na kipigo( hapa ningeuwa)..........kiasi kwamba mtu analala na hawara ndani kwangu, mm nimelala na watoto chumban kwao, asbh nawaandalia breakfast nikiwa niko poa tu na mezani tunakaa sote. sikufurukuta kwani nilikuwa napiga hesabu ya invested cost, na how am i going to recover them. sikutaka kuhamalaika manake ningekosa bara na pwani.

ila nikiwa kwenye mchakato taa ya yellow ikawaka kwamba sasa soon red itawaka ikabidi asalimu amri tena siku ambayo hakujua kama ingekuwa hivyo manake niliua moyo kabisa nikawapikia tukala meza moja, kumbe mpalestina mie nawaza returns zangu. alishindwa kujua zile guts napata wapi na hakuna ajuaye ilibidi arudi magotini kwangu...na hawara kutimuliwa. anyway it wasn't simple manake kuna mahali nafsi iliuma hadi unataka kulia lkn unajikaza kisabuni asivimbe kichwa.
 
Tegelezeni kwanza naliona tatizo katika mtazamo wa da ASHA dii lkn pia naliona tatizo katika mtazamo wa mwanaume kuwachoka wote so anataka wauane yeye akiwa safarini ili huko aendelee kula bata.

ngoja nikwambie kitu, mwanamke jasiri sikuzote huitete ndoa yake kwa gharama yyte ile na hata pale busara inapohitajika basi hutumia busara ile ambayo japo itamuumiza lkn bado itampa kuwa mshindi mwisho wa siku.

Mdogo wangu Gfs, hivi unajua kuwa wanaume na jeuri yao yooote ya kuchanganya wanaume kitu ambacho wanaongoza katika kutopenda na kwa namna yoyote ile kuweza iepusha ni vurugu kati ya wanawake? Yeye raha yake hata akipiganiwe isiwe mbele yake aone tu kwa mbali ama asikie tu... Tofauti na wanawake wengi ambao huona raha apiganiwe anaona. Huyu mwanaume kisha wasoma wote...

Anajua kuwa mke wake ni mpole, hana maamuzi wala hawezi kufanya lolote; labda kwa sababu hana base na mwanaume huyo ndio tegemezi kwa kila kitu ama kwa sababu ya kuwa Msukule wa Mapenzi topic ambayo imeongelewa sana kwa kina hapa MMU in courtesy ya Mbu.

Huyo hawara inawezekana hakujua kuwa mke wa jamaa karudi. Inawezekana baada ya ugomvi wao walipatana ki simu simu na unajua sometimes inavyotakiwa ujanja wa ziada. Akaona ili kurudi kwa jamaa ajifanye hana mahala pa kulala ili apate gear na wepesi wa kurudi ndani. Only to find kuwa kuna mke wa jamaa yupo humo ndani na kamfanyia hivo kama kumkomesha... Na naamini kabisa mwanaume aliamini kuwa akikuta hivyo atachukia na kusepa kimya kimya yakiwa yamemshuka badla yake imekuwa tofauti, imemuuma sana na kaamua kufanya vurugu.

Mdogo wangu siku zote linda ndoa yako kwa nguvu zote, but ukiwa huna mipaka na mjinga pia, utamlamba hadi kinyesi lakini bado atakukanyaga na kukuvuta masikio. Vitu hivi vina mpaka wake, kuwa na dignity na heshimu utu wako else no one else will...
 
Last edited by a moderator:
lara 1 nakuunga mkono kabisa ila ngoja nikwambie kitu kimoja hapa

mke wa ndoa alikosea sana kuachika na kurudisha majeshi. mm huwaga nasema mwiko kuondoka nitang'ang'ania hadi dk ya mwisho labda atoke yeye ila sasa nikifika mahali nimesalimu amri that will be for good ever. na hapo nitakuwa nimesha fanya hesabu ya nguvu yangu niloinvest na pia nishajua jins ya kuzirecover............MPALESTINA @work.

niliwah kuvumilia abusive life ila ambayo haikuwa na kipigo( hapa ningeuwa)..........kiasi kwamba mtu analala na hawara ndani kwangu, mm nimelala na watoto chumban kwao, asbh nawaandalia breakfast nikiwa niko poa tu na mezani tunakaa sote. sikufurukuta kwani nilikuwa napiga hesabu ya invested cost, na how am i going to recover them. sikutaka kuhamalaika manake ningekosa bara na pwani.

ila nikiwa kwenye mchakato taa ya yellow ikawaka kwamba sasa soon red itawaka ikabidi asalimu amri tena siku ambayo hakujua kama ingekuwa hivyo manake niliua moyo kabisa nikawapikia tukala meza moja, kumbe mpalestina mie nawaza returns zangu. alishindwa kujua zile guts napata wapi na hakuna ajuaye ilibidi arudi magotini kwangu...na hawara kutimuliwa. anyway it wasn't simple manake kuna mahali nafsi iliuma hadi unataka kulia lkn unajikaza kisabuni asivimbe kichwa.

Mhhhhhhh!!!!! BIG UP AISEEEEE!!!!!! Ila mimi hiyo chai nayowapikia ningeweka Potassium kidogo au hata Conco Hydrochloric Acidi, au hata H2SO4 nikishindwa kabisaa Maji ya Betri kumaliza kazi!!!!!!!! Baaaaaaaaasss!!!!!!! Ndoa hiziii!!!!!!!!! Mi siwezi aiseeeee!
 
Tegelezeni... Hapo unajiuliza maswali ambayo siyo. Sijajua kuwa umelichukulia vipi.. BUT mimi naona kuwa a smart man HAWEZI mrudisha mkewe kwake mahala ambapo ameishi na mwanamke mwingine tena kwa miaka mitatu! Ingekuwa nyumba kajenga ni excusable... Wacha zile za kusema wanawake unaingiza tu kalalana nao (tena hii tabia mbovu ya kuleta kila one night stand nyumbani; kuwa mjanja nenda kwake uache tabia ya kujenga jina la danguro nyumbani kwako hasa ukiwa mtu wa makamo na sio kijana mdogo).

Huyo mwanume ni selfish na wala hajali... Kama kathubutu kumruhusu huyo hawara kuja kulala hapo kwa mkewe na watoto na yeye pasipo uwepo wake ana roho mbaya sana! But narudi kule kule kuwa wanawake hao ndio wamechangia, hivi mkewe angegoma huyo mwanamke asilale hapo akaita na police; huyo hawara angethubutu kumsogelea?

Huyo hawara angeenda kulalamika police kanyanyaswa na kukataliwa vyombo vyake akavichukua pale pale wakati anafukuzwa unadhani asingeweza kupata hivyo vyombo?

Wewe mke kama unajua mmeo anawasiliana na hawara yake (tena huyo ni mke kabisa katika macho ya watu) to the extent anamruhusu alale hapo kwenu unadhani kuna usalama? Bado tu umetulia baada ya ye kukutelekeza miaka yote ile na bado hajabadilika... Umetulia tu kama vile umezaliwa nae?

Da AshaDii niko na wewe katika kulitafakari hili, tatizo ni kwamba sina historia kamili ya wanandoa hawa, nimewajua kwa mwaka mmoja tu, kuna simulizi nyingi za kuokoteza. Naambiwa aliokotana na huyo mwanamke huko Uganda alipoenda kikazi na kuja naye Dar na kumpangishia nyumba, wakati huo alikuwa aamemtelekeza mkewe wa ndoa huko mkoani.

sababu ya kumtelekeza mkewe hakuna anayejua, lakini tabia ya umalaya ya huyu hawara kila mtu hapa mtaani anaifahamu, na ilifikia hatua mwanaume anakuja na gari na kupaki ndani ya geti na kulala mpaka asubuhi kisha aandaliwe chai ndio aondoke na kama ni weekend atashinda hapo nyumbani kutwa.

Nilikuwa namuona mwanamke kama ndiye mpangani na huyo mume ni hawara kama hao wengine wanaokuja na kulala na kuondoka. Ni pale huyu mwanaume alipokuja kuzungumza nami siku moja ndipo nikajua kuwa ndiye mpangaji wa hiyo nyumba.
 
lara 1 nakuunga mkono kabisa ila ngoja nikwambie kitu kimoja hapa

mke wa ndoa alikosea sana kuachika na kurudisha majeshi. mm huwaga nasema mwiko kuondoka nitang'ang'ania hadi dk ya mwisho labda atoke yeye ila sasa nikifika mahali nimesalimu amri that will be for good ever. na hapo nitakuwa nimesha fanya hesabu ya nguvu yangu niloinvest na pia nishajua jins ya kuzirecover............MPALESTINA @work.

niliwah kuvumilia abusive life ila ambayo haikuwa na kipigo( hapa ningeuwa)..........kiasi kwamba mtu analala na hawara ndani kwangu, mm nimelala na watoto chumban kwao, asbh nawaandalia breakfast nikiwa niko poa tu na mezani tunakaa sote. sikufurukuta kwani nilikuwa napiga hesabu ya invested cost, na how am i going to recover them. sikutaka kuhamalaika manake ningekosa bara na pwani.

ila nikiwa kwenye mchakato taa ya yellow ikawaka kwamba sasa soon red itawaka ikabidi asalimu amri tena siku ambayo hakujua kama ingekuwa hivyo manake niliua moyo kabisa nikawapikia tukala meza moja, kumbe mpalestina mie nawaza returns zangu. alishindwa kujua zile guts napata wapi na hakuna ajuaye ilibidi arudi magotini kwangu...na hawara kutimuliwa. anyway it wasn't simple manake kuna mahali nafsi iliuma hadi unataka kulia lkn unajikaza kisabuni asivimbe kichwa.
gfsonwin, mke ahakuachika bali alitelekezwa huko Mkoani na mume kubadili makazi na kuja kuishi Dar na hawara aliyemuokotea huko Uganda.
Umeelewa sasa?
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhhhh!!!!! BIG UP AISEEEEE!!!!!! Ila mimi hiyo chai nayowapikia ningeweka Potassium kidogo au hata Conco Hydrochloric Acidi, au hata H2SO4 nikishindwa kabisaa Maji ya Betri kumaliza kazi!!!!!!!! Baaaaaaaaasss!!!!!!! Ndoa hiziii!!!!!!!!! Mi siwezi aiseeeee!
wala usingefanya hayo ngoja nikwambie kitu, siku zote mtu akiwa anatendewa jambo baya wewe uloko nje utasema ingekuwa mm angenikoma ila ukweli hauko hivyo. manake kumbuka pia kuna nguvu ambayo sisi tunayo na inatenda kazi ndani yetu ambayo pia ukiitumia vizuri inaweza kukusaidia. leo hii huwa tukikaa na hubby kujadili haya huwa hata yeye mwenyewe anasema hajui what was that, na daima huwaga akikumbuka haya huwa anajipinda si mchezo ili nsiyawaze yale. na nashukuru sna toka amerudi ni miaka mingi sana but niko kama naish yerusalem lol!
 
hivi ndo vichwa vya familia?

na huyo mke mzima kweli kuruhusu hawara ndani mwako?

kiufupi wote 3 wanatumia makamasi.....

ingawa mume makamasi yake yamezidi kwenye ubongo.............

vichwa vya familia oyeeeeeeeeeeeeeeeeee, vidumu vichwa vya familia....zidumu na fikra zao loh
 
gfsonwin, mke ahakuachika bali alitelekezwa huko Mkoani na mume kubadili makazi na kuja kuishi Dar na hawara aliyemuokotea huko Uganda.
Umeelewa sasa?

duh! sasa hapo naona swala hili kwa mtazamo tofauti kidogo, she is acting so to save her kids. na huyu baba ataumia sana utakuja kutuambia.
 
Report kwa balozi au mwenyekiti wa srikali ya mtaa. Wasije kutoana roho unashuhudia!
Tena fanya fasta, na sababu yako ni rahisi......unakereka na purukushani zao na kwamba zinakunyima uhuru.

Mjumbe anaishi adjacent na eneo la tukio lakini kapiga kimya na hata vurugu za usiku za kuvunja vyombo makabati majirani wote wamesikia lakini kila mtu kapiga kimya nyumbani kwake, mie hapa ndio naona kero na roho yangu iko juu juu maansijui kitakachotokea
 
Mhhhhhhh!!!!! BIG UP AISEEEEE!!!!!! Ila mimi hiyo chai nayowapikia ningeweka Potassium kidogo au hata Conco Hydrochloric Acidi, au hata H2SO4 nikishindwa kabisaa Maji ya Betri kumaliza kazi!!!!!!!! Baaaaaaaaasss!!!!!!! Ndoa hiziii!!!!!!!!! Mi siwezi aiseeeee!

gfsonwin ni anoither aisee ana mioyo miwili katika hili. Mimi nisingeweza kabisa nadhani ni bora ningekaa chumbani nikipretend kuwa siwaoni wala sihisi kama wapo. But kuwapikia na kukaa nao meza moja??? sijui
 
saa nyingine umasikini ndo unaowadhalilisha wanawake............ anakuwa mpole akijua hana pa kwenda...au hajui ataishije....au uzembe tu, kiufupi chanzo ni utegemezi

Tegelezeni... Hapo unajiuliza maswali ambayo siyo. Sijajua kuwa umelichukulia vipi.. BUT mimi naona kuwa a smart man HAWEZI mrudisha mkewe kwake mahala ambapo ameishi na mwanamke mwingine tena kwa miaka mitatu! Ingekuwa nyumba kajenga ni excusable... Wacha zile za kusema wanawake unaingiza tu kalalana nao (tena hii tabia mbovu ya kuleta kila one night stand nyumbani; kuwa mjanja nenda kwake uache tabia ya kujenga jina la danguro nyumbani kwako hasa ukiwa mtu wa makamo na sio kijana mdogo).

Huyo mwanume ni selfish na wala hajali... Kama kathubutu kumruhusu huyo hawara kuja kulala hapo kwa mkewe na watoto na yeye pasipo uwepo wake ana roho mbaya sana! But narudi kule kule kuwa wanawake hao ndio wamechangia, hivi mkewe angegoma huyo mwanamke asilale hapo akaita na police; huyo hawara angethubutu kumsogelea?

Huyo hawara angeenda kulalamika police kanyanyaswa na kukataliwa vyombo vyake akavichukua pale pale wakati anafukuzwa unadhani asingeweza kupata hivyo vyombo?

Wewe mke kama unajua mmeo anawasiliana na hawara yake (tena huyo ni mke kabisa katika macho ya watu) to the extent anamruhusu alale hapo kwenu unadhani kuna usalama? Bado tu umetulia baada ya ye kukutelekeza miaka yote ile na bado hajabadilika... Umetulia tu kama vile umezaliwa nae?
 
duh! sasa hapo naona swala hili kwa mtazamo tofauti kidogo, she is acting so to save her kids. na huyu baba ataumia sana utakuja kutuambia.

Namuuliza mke iwapo aliwahi kuishi katika nyumba hiyo kasema hapana bali waliwahi kuishi Mwenge miaka ya nyuma kabla ya kurudi Mkoani kwa wazazi wake na alikuwa anajua kuwa mumewe anaishi na hawara tangu mwaka 2004.

Naomba kusahihisha kwamba mwanaume aliishi na huyu hawara kwa miaka 7
 
Back
Top Bottom