Hivi huyu mwanamke ana akili timamu kweli!!! ? Au bado ana utoto?

TONGINDI

Senior Member
Nov 23, 2011
174
32
Wadau katika hili naomba maoni yenu, the scenario is like this, nilikuwa na mchumba wangu ambaye tulidumu kwa miaka 5, na actually last year ndo nilitaka kumlipia mahari ili tufungue maisha mapya ya ndoa, sasa nikiwa katika harakati za kuwahusisha wazazi nilipokea simu kutoka kwa mwanaume akinitaarifu niachane kabisa na hyo binti ambaye nilimwita mchumba wangu, nilishtuka sana lakini ili nipate ukweli nilijaribu kumu examine huyo dada, ktk hali isiyokuwa ya kawaida na ktk kubabaika alikiri madai ya huyo mwanaume na kusema kaishalipiwa hata mahari! Dah iliniuma sana lakini kama mwanaume ilibidi nikubaliane na hali halisi na kuanza maisha mapya kimapenzi, sasa kituko baada ya miezi kadhaa bila ya mawasiliano yule mwanamke akaanza kujipendekeza kwangu anapiga simu uck, mie sipokei anatuma sms eti bado anahitaji kampani yangu, eti hajisikii vzr asipokuwa na mimi, sasa mm nashindwa kumshangaa, hivi ana lengo gani mwanamke huyu is she of sound mind? Or may be she is insane, na ktk maisha yetu ya uchumba sijawahi kusex naye, labda tu romance,
sasa wanajamii mna ushauri gani kwagu juu ya kibaka huyu?
 
kumbe wanaume wa namna yako bado wapo duniani, miaka 5 hamjala tunda!

Tatizo halitatuliwi kwa kulikimbia. Zungumza na huyo dada,mwambie hutaki mawasiliano nae.

Mwisho, kumbuka mnapoachana hamuwi maadui!
 
atakuwa ana jini mahaba huyo!! bahati mbaya sheikh yahya katutoka ila sivyo ingebidi akatibiwe... Ila kiuhalisia ni mahusiano ya siku hizi ya vijana hayo, wake kwa waume... pole sana mkuu ila ni vizuri ukaanza mbele.... achana naye mana ni kimeo huyo..
 
tongindi uko pande zipi? Mbona ka hyo scenario ni ka yangu coz hata mi mchumba wangu alikuwa na jamaa ambaye nilimkuta naye na kamfanyia ka wewe ulivyofanyiwa ila yeye mwenyewe alipima akaona I'm far better than him
 
fungua ukurasa mpya usonge mbele na maisha yako mzee, ushauri wa nini issue iko wazi hii?
 
Mkuu kwanza mimi nakulaumu kukaa kipindi chote hujampanda kifuani. Kama tayari ameshatoka mikononi mwako huyo achana naye tafuta mwingine. Halafu ukishampata uache mambo ya kilokole muombe tunda akumegee hata kama chungwa we menya tu, hata ukiachwa machungu hamna
 
Agriiiiiiiii......... miaka mi5 hujala mzigo!!! hufai ht kupewa ushauri ww.
MAPROSOO.
 
Ndo maana alikutafutia sub, 5yrs mingi mno kwa mabinti wa sasa. Be a man of ur word! Ataelewa tu
 
Wadau katika hili naomba maoni yenu, the scenario is like this, nilikuwa na mchumba wangu ambaye tulidumu kwa miaka 5, na actually last year ndo nilitaka kumlipia mahari ili tufungue maisha mapya ya ndoa, sasa nikiwa katika harakati za kuwahusisha wazazi nilipokea simu kutoka kwa mwanaume akinitaarifu niachane kabisa na hyo binti ambaye nilimwita mchumba wangu, nilishtuka sana lakini ili nipate ukweli nilijaribu kumu examine huyo dada, ktk hali isiyokuwa ya kawaida na ktk kubabaika alikiri madai ya huyo mwanaume na kusema kaishalipiwa hata mahari! Dah iliniuma sana lakini kama mwanaume ilibidi nikubaliane na hali halisi na kuanza maisha mapya kimapenzi, sasa kituko baada ya miezi kadhaa bila ya mawasiliano yule mwanamke akaanza kujipendekeza kwangu anapiga simu uck, mie sipokei anatuma sms eti bado anahitaji kampani yangu, eti hajisikii vzr asipokuwa na mimi, sasa mm nashindwa kumshangaa, hivi ana lengo gani mwanamke huyu is she of sound mind? Or may be she is insane, na ktk maisha yetu ya uchumba sijawahi kusex naye, labda tu romance,
sasa wanajamii mna ushauri gani kwagu juu ya kibaka huyu?

Achana nae. Atakuchanganya tu akili upate kiharusi katika umri mdogo. Inawezekana roho inakuuma kwa sababu umeshamzoea n.k lakini piga moyo konde, dunia hii imejaa viumbe wengi wazuri wataokufanya hata usahahu sakata hili la sasa. Isitoshe, kuna magonjwa mazee siku hizi, na kwa mwendo huo wa ndoa huku, ndoa kule, lazima kuna mikasi ya pekupeku inaendelea.
Lakini hilo la kukaa nae miaka mitano bila bila, bali maromance yanayomlowesha tu, ni haki yake kwenda kwingine akakaushwe umande.
Usirudie tena kosa hilo kwingine.
 
ab wee nae wafurahisha sana....miaka mitano ujalamba utamu sasa y 5 years bila kumuoaa?? huyu demu alikuona wewe mzushi tuu ndio maana akakubali kwa huyo mwengine. its ur fault kaka.
 
5yrs.....huo ulikuwa ni uchumba halali au wa kujuana nyie tu? Nashindwa kuelewa.....

ushishangae miaka 5, issue ni kwmb mie nilikuwa lushoto afu yeye mwanza hivyo tulikuwa tunawasiliana, afu suala la uchumba mpaka utangaze BBC? 4 WHAT?
 
Kama kuna mdada ambaye ametendwa namkaribisha kwangu ili tuanzishe harakati za kimapinduzi,
 
Back
Top Bottom