Hivi huyu mtuma maoni Isaya Sambo anafanya kazi saa ngapi na anapumzika saa ngapi

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,795
Yaani huyu jamaa anaeitwa Isaya Sambo mpenda amani tz kila station ikifungua upande wa kutoa maoni lazima umsikie tuu hasa hasa DW kipindi cha kutuma maoni au ushauri yaani kwa asilimia kubwa ni yeye DW inabidi wamwajiri tuu au apewe hata tuzo ya usikilizaji bora maana haiwezekani kila taarifa zao zile za saa 6:00 alfari na za saa 1:00mchana naza 6:00 jioni tena ni yeye tuu ,
Huyu huyu bwana mdogo anafanya kazi saa ngapi na anapumkzika saa ngapi.
 
Yaani huyu jamaa anaeitwa Isaya sambo mpenda amani tz kila station ikifungua upande wa kuta maoni lazma umsikie tuu hasa hasa dw kipindi cha kutuma maoni au ushauri yaani kwa asilimia kubwa ni yeye dw inabidi wamwajiri tuu au apewe hata tuzo ya usikilizaji bora maana haiwezekani kila taarifa zao zile zaa saa 6:00alfaji naza saa 1:00mchana naza 6:00jioni tena ni yeye tuu ,

Ukuda umekuzidi na hapo bado haujazeeka nakwambia
 
Yaani huyu jamaa anaeitwa Isaya sambo mpenda amani tz kila station ikifungua upande wa kuta maoni lazma umsikie tuu hasa hasa dw kipindi cha kutuma maoni au ushauri yaani kwa asilimia kubwa ni yeye dw inabidi wamwajiri tuu au apewe hata tuzo ya usikilizaji bora maana haiwezekani kila taarifa zao zile zaa saa 6:00alfaji naza saa 1:00mchana naza 6:00jioni tena ni yeye tuu ,
Huyu huyu bwana mdogo anafanya kazi saa ngapi na anapumkzika saa ngapi.
Kwani DW wanatangaza masaa yote hadi ashindwe Fanya kazi.
 
Back
Top Bottom