Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,633
- 697,794
Shukuru Mungu hajaja kipopo bawa! Saa hii ungekuwa unasema mengine.
Shukuru Mungu hajaja kipopo bawa! Saa hii ungekuwa unasema mengine.
mshanaaa! unaitwa huku!
Mshana amefuzu na ushahidi ni Certificate of Service
View attachment 1201846View attachment 1201846View attachment 1201846
Mtu hujawah kumwona unamwota vipi??Wadau,
Nataka kujua huyu mshana jr ni mlozi kweli au!? maana huyu mtu namuonaga huku JF kitambo na mi mambo yake ya uganga na ushirikina na ulozi ..mara nyingi huwa naona tu apite hivi..ebana kuna ndoto nimeota Jana na jamaa alikua ndani ya ndoto ndo alinifanyia ulozi live ama!? iweje nimuote tena ndoto mbaya nikiwa katika ATM natoa mihela yeye anakuja na mipanga na shoka na kundi la wahun nikawaita polisi yeye akawa ananisingizia kuwa niko nae..wadau hebu nisaidie usikute ni mambo yake anayakoroga huko same kisiwani kwa wapare wenzake
Mtu hujawah kumwona unamwota vipi??
Ndo maana cjawah kuwaotawewe umewahi kumuona yesu au mtume!? mbona unamwabudu!?