Hivi huyu Mshana Jr ni mlozi kweli au ndo Kiki zake ndani JF maana haiwezekani nimuote

Wadau,

Nataka kujua huyu mshana jr ni mlozi kweli au!? maana huyu mtu namuonaga huku JF kitambo na mi mambo yake ya uganga na ushirikina na ulozi ..mara nyingi huwa naona tu apite hivi..ebana kuna ndoto nimeota Jana na jamaa alikua ndani ya ndoto ndo alinifanyia ulozi live ama!? iweje nimuote tena ndoto mbaya nikiwa katika ATM natoa mihela yeye anakuja na mipanga na shoka na kundi la wahun nikawaita polisi yeye akawa ananisingizia kuwa niko nae..wadau hebu nisaidie usikute ni mambo yake anayakoroga huko same kisiwani kwa wapare wenzake
Mtu hujawah kumwona unamwota vipi??
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom